DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni wanadhani tuu kwa sababu wazazi wangu wote wawili, baba na mama, walikuwa huko. Tumezaliwa watoto 8. Kati yaa, 5 wako serikalini, 3 tuko sekta binafsi, we can't all 8 be there!.

Mtu wa huko anawezaje kuuliza hivi kuhusu ofisi yake? TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Kitu ambacho ni kweli, ukizaliwa familia za hivyo, unakuwa na ile born security conscious, hii mimi ninayo, na nimeisha jitolea mara kibao kuwasaidia hao jamaa zetu na mfano mzuri ni kumhusu JPM. Kabla ya kuwa rais ile 2014, nilisikia kitu nikakiweka humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hayo majamaa did nothing!, jamaa akawa!.
P
Kweli uliona na kumtabiria mema ila sasa mbona John alitoa tafsiri ya jina lako la pili kwa namna ile nyenye kuleta hisia kuwa wewe ni mtu mwenye njaa unaweza tumika na mtu yeyote mwenye pesa?
 
Na hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.

Huwezi kumtumbua Nape umwache Bashe na Naibu Wazuri mkuu.

Kwanza Nape hajawahi kuwa na kashfa ya Rushwa.
Nape ni Kati ya WanaCCM waadilifu.
Tatizo la Nape ni jeuri na Kiburi cha kuwadharau Wapiga kura wanaompa nafasi lakini anawasahau na kujiunga na Watawala kudharau maoni ya watu.

Vinginevyo Nape hana kashfa ya Ufusadi.

Ni bora Mh.Rais atuondolee Naibu Waziri Mkuu ili atupunguzie matumizi yasiyo ya Lazima lakini pia atoe nafasi ya PM kuwabana mafisadi . Kwa sasa Biteko anafanya kazi ya Waziri wa Akina mama na watoto / ustawi wa Jamiii. Hana tija. Tangu alambishwe hasali na kuuza vitalu vya madini amebadilika sana. Sio Biteko yule wa enzi za JPM.

Kifupi Mama ni bora avunje baraza la Mawaziri na kuliunda upya likiwa na mawaziri wachache na manaibu wchache.

JPM na Dr.Kijazi waliendesha nchi zaidi ya mwezi bila kuwa na Mawaziri,nchi okasonga mbele na Wananchi tukaendelea na shughuli zetu na uhalifu ukapungua sana.

Wanasiasa wanajiona ni wa muhimu sana kumbe ni ubinafsi tu. Jambo la muhimu ni nchi kuwa na Jeshilisilofungamana na siasa na Polisi ,Walimu wasiokua machawa wa wanasiasa , madaktari na manesi na Mainjinia.

Wabunge na mawaziri na manaibu Waziri wao ni kichaka tu cha wezi wa mali za umma kujifiha.
 
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
Paskali umeliona hilo? Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
 
Kweli uliona na kumtabiria mema ila sasa mbona John alitoa tafsiri ya jina lako la pili kwa namna ile nyenye kuleta hisia kuwa wewe ni mtu mwenye njaa unaweza tumika na mtu yeyote mwenye pesa?
Ni wanadhani tuu kwa sababu wazazi wangu wote wawili, baba na mama, walikuwa huko. Tumezaliwa watoto 8. Kati yaa, 5 wako serikalini, 3 tuko sekta binafsi, we can't all 8 be there!.

Mtu wa huko anawezaje kuuliza hivi kuhusu ofisi yake? TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Kitu ambacho ni kweli, ukizaliwa familia za hivyo, unakuwa na ile born security conscious, hii mimi ninayo, na nimeisha jitolea mara kibao kuwasaidia hao jamaa zetu na mfano mzuri ni kumhusu JPM. Kabla ya kuwa rais ile 2014, nilisikia kitu nikakiweka humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hayo majamaa did nothing!, jamaa akawa!.
P
Paskal,unadhani mwaka 2025 CCM watamsimamisha Mama Samia?
 
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!

Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?

Cc Pascal Mayalla

Britanicca

Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
Tarehe 20june ulitoa taarifa iliyothibitishwa tarehe11/07/2024, siku 21 kamili asee .mkuu umetisha sana! Na narudia kusema JF Ndo chanzo cha habari tz umekataa au umekubali

Sasa swal limebaki 1 tu who s the next presidor?

Nadhan majib mkuu unayoooo yapenyezeee
 
Back
Top Bottom