CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
EJN?Na wasiwasi huyu jamaa ni moja ya wale jamaa waliotoka south wakahamia huko kusini juu.
Baadae akaenda kuwa mjumbe na sasa ndiye mtunza minutes za vikao 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EJN?Na wasiwasi huyu jamaa ni moja ya wale jamaa waliotoka south wakahamia huko kusini juu.
Baadae akaenda kuwa mjumbe na sasa ndiye mtunza minutes za vikao 😅😅
Kweli uliona na kumtabiria mema ila sasa mbona John alitoa tafsiri ya jina lako la pili kwa namna ile nyenye kuleta hisia kuwa wewe ni mtu mwenye njaa unaweza tumika na mtu yeyote mwenye pesa?Ni wanadhani tuu kwa sababu wazazi wangu wote wawili, baba na mama, walikuwa huko. Tumezaliwa watoto 8. Kati yaa, 5 wako serikalini, 3 tuko sekta binafsi, we can't all 8 be there!.
Mtu wa huko anawezaje kuuliza hivi kuhusu ofisi yake? TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Kitu ambacho ni kweli, ukizaliwa familia za hivyo, unakuwa na ile born security conscious, hii mimi ninayo, na nimeisha jitolea mara kibao kuwasaidia hao jamaa zetu na mfano mzuri ni kumhusu JPM. Kabla ya kuwa rais ile 2014, nilisikia kitu nikakiweka humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hayo majamaa did nothing!, jamaa akawa!.
P
Simchukulii poa nampa maua yake, kuwa mkurugenzi wa TOT siyo padogo hapo.Una mchukulia poa?
Na hili la kutumbuliwa akina Nape likitokea, nitakuaminia kuliko maelezo. Hata siku ukisema mende atatoa maziwa mimi nitakubali.
Nashukuru kwa kunipigia debe Mkuu.Akusikilize Kwa kweli,umenifunza mengi humu jf hasa kimataifa.
Labda lakini inawezekana yoteMtu wa jumba lile hawezi kujiunga jf with verified name halafu akapandisha uzi kama huu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
P
Waislamu wapo wengi tu, atapatikana mwingineMombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
I like your inglisiõTISS came from being a regional behemoth, an elite intelligence organization loathed and feared by boers, to a lapdog running fool's errands for Sheikh Abdul.
Ooh how the mighty have fallen 🤣
Paskali umeliona hilo? Hayawi hayawi sasa yamekuwa.Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Kweli uliona na kumtabiria mema ila sasa mbona John alitoa tafsiri ya jina lako la pili kwa namna ile nyenye kuleta hisia kuwa wewe ni mtu mwenye njaa unaweza tumika na mtu yeyote mwenye pesa?
Paskal,unadhani mwaka 2025 CCM watamsimamisha Mama Samia?Ni wanadhani tuu kwa sababu wazazi wangu wote wawili, baba na mama, walikuwa huko. Tumezaliwa watoto 8. Kati yaa, 5 wako serikalini, 3 tuko sekta binafsi, we can't all 8 be there!.
Mtu wa huko anawezaje kuuliza hivi kuhusu ofisi yake? TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
Kitu ambacho ni kweli, ukizaliwa familia za hivyo, unakuwa na ile born security conscious, hii mimi ninayo, na nimeisha jitolea mara kibao kuwasaidia hao jamaa zetu na mfano mzuri ni kumhusu JPM. Kabla ya kuwa rais ile 2014, nilisikia kitu nikakiweka humu, Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli hayo majamaa did nothing!, jamaa akawa!.
P
Kwamba ni balozi yule?Na wasiwasi huyu jamaa ni moja ya wale jamaa waliotoka south wakahamia huko kusini juu.
Baadae akaenda kuwa mjumbe na sasa ndiye mtunza minutes za vikao 😅😅
Sasa sisi wasukuma tumeingiaje hapa
Tarehe 20june ulitoa taarifa iliyothibitishwa tarehe11/07/2024, siku 21 kamili asee .mkuu umetisha sana! Na narudia kusema JF Ndo chanzo cha habari tz umekataa au umekubaliMombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
salama habari za hukoBritannica kada mtifuu salama mkuu!?
Njema mkuu, sisi wadogo zako tunaendelea kuwakumbusha watoto wa kayumba wakutambue 😂salama habari za huko
Haha Next Prezidaa Ni NamungoTarehe 20june ulitoa taarifa iliyothibitishwa tarehe11/07/2024, siku 21 kamili asee .mkuu umetisha sana! Na narudia kusema JF Ndo chanzo cha habari tz umekataa au umekubali
Sasa swal limebaki 1 tu who s the next presidor?
Nadhan majib mkuu unayoooo yapenyezeee