Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

Si tumekubaliana elimu haina mwisho?

Sokoine alisoma Bulgaria hata alivyokuwa Waziri Mkuu.

Sumaye alisoma USA hata baada ya kuwa Waziri Mkuu.
 
Majoho ya siku hizi mazuri😍😍 itabidi nirudi shule ili walau nipate hii experience ya majoho toleo jipya ka hii 😁😁😁😁
Ahahahaha yetu kikubwa ilikua strip rangi ya damu ya mzee...
 
Hiyo certificate ndio elimu karne hii ya 21?labda awalingishie ngumbaru wenzie wa bongo movies.
 
Hongera kwake, kapambana huu mwaka wangu wa sita chuo napambana.

Elimu yake ikasaidia nchi na wananchi, huo ndiyo uzalendo.
 
Back
Top Bottom