zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Aliyovaa monalisaMakitu gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyovaa monalisaMakitu gani mkuu?
Maamuzi tu mkuu..mi mwenyewe sijawahi kuyavaa sababu sijafika university na st kayumba hakuna majoho🤣🤣Aliyovaa monalisa
Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake.
View attachment 3171295
Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi nyingi katika darasa lake, amesema watu walimcheka na kushangaa kwanini aliamua kurudi shule akiwa na umri mkubwa. Hata hivyo, hakukata tamaa na leo amejivunia kuhitimu akiwa mwanafunzi bora wa darasa lake.
View attachment 3171296
Katika ujumbe wake, Monalisa amesisitiza kuwa mafanikio hayo ni ushuhuda wa uvumilivu, ujasiri, na uthubutu. Amesema safari yake ni kielelezo kuwa kamwe si kuchelewa kufanikisha ndoto zako, na huu ni mwanzo tu wa mambo makubwa yanayokuja.
View attachment 3171297
“Nilichekwa, lakini leo nimebutua,” alisema Monalisa kwa furaha, akiongeza kuwa hakuna kurudi nyuma, na mashabiki wake waendelee kufuatilia safari yake.
View attachment 3171293
Mastaa na mtoto wake wamiminika kumpongeza mitandaoni.
View attachment 3171294
Naomba kukazia hapa! Tungejulishwa jina la chuo, na pia kiwango cha elimu alichosoma (mfano Astashahada, Stashahada, Shahada, nk.)Jina la chuo?
All the best
Nimeanza kuwaka wakaHuwa sijawahi kujali sna, kama ni shida zipo tu mkuu😁😁😁
Hongera nyingi kwake 🌹🌹🌺🌺Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake.
View attachment 3171295
Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi nyingi katika darasa lake, amesema watu walimcheka na kushangaa kwanini aliamua kurudi shule akiwa na umri mkubwa. Hata hivyo, hakukata tamaa na leo amejivunia kuhitimu akiwa mwanafunzi bora wa darasa lake.
View attachment 3171296
Katika ujumbe wake, Monalisa amesisitiza kuwa mafanikio hayo ni ushuhuda wa uvumilivu, ujasiri, na uthubutu. Amesema safari yake ni kielelezo kuwa kamwe si kuchelewa kufanikisha ndoto zako, na huu ni mwanzo tu wa mambo makubwa yanayokuja.
View attachment 3171297
“Nilichekwa, lakini leo nimebutua,” alisema Monalisa kwa furaha, akiongeza kuwa hakuna kurudi nyuma, na mashabiki wake waendelee kufuatilia safari yake.
View attachment 3171293
Mastaa na mtoto wake wamiminika kumpongeza mitandaoni.
View attachment 3171294
Safi sana mkuu naunga mkono hilo ,ila usiache kupenda afya yako kabla ya kuwaka, mimi pia nawaka mkuu 😊😊😊Nimeanza kuwaka waka
Hapa napiga chair fire 🔥 mdo mdo niende nyumbani Sasa..Safi sana mkuu naunga mkono hilo ,ila usiache kupenda afya yako kabla ya kuwaka, mimi pia nawaka mkuu 😊😊😊
PhDHongera monalisa
Hakuna bwana
Danga la kipemba limekata kambaHakuna bwana
Zoom polytechnicJina la chuo?
All the best