Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Dec 10, 2024 #61 Si tumekubaliana elimu haina mwisho? Sokoine alisoma Bulgaria hata alivyokuwa Waziri Mkuu. Sumaye alisoma USA hata baada ya kuwa Waziri Mkuu.
Si tumekubaliana elimu haina mwisho? Sokoine alisoma Bulgaria hata alivyokuwa Waziri Mkuu. Sumaye alisoma USA hata baada ya kuwa Waziri Mkuu.
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 10, 2024 #62 Waka Waka said: Jina la chuo? All the best Click to expand... Mpwayungu Village University
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Dec 12, 2024 #63 Palina said: Majoho ya siku hizi mazuriππ itabidi nirudi shule ili walau nipate hii experience ya majoho toleo jipya ka hii ππππ Click to expand... Ahahahaha yetu kikubwa ilikua strip rangi ya damu ya mzee...
Palina said: Majoho ya siku hizi mazuriππ itabidi nirudi shule ili walau nipate hii experience ya majoho toleo jipya ka hii ππππ Click to expand... Ahahahaha yetu kikubwa ilikua strip rangi ya damu ya mzee...
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Dec 13, 2024 #64 Hiyo certificate ndio elimu karne hii ya 21?labda awalingishie ngumbaru wenzie wa bongo movies.
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,994 Reaction score 4,729 Dec 13, 2024 #65 Hongera shangazi
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 24, 2024 #66 Hongera kwake, kapambana huu mwaka wangu wa sita chuo napambana. Elimu yake ikasaidia nchi na wananchi, huo ndiyo uzalendo.
Hongera kwake, kapambana huu mwaka wangu wa sita chuo napambana. Elimu yake ikasaidia nchi na wananchi, huo ndiyo uzalendo.