Monalisa: Natamani kuolewa

Monalisa: Natamani kuolewa

Sasa uzi umefutwa unataka ujue ninii?? Umbea tu, mi mwenyewe hua wananiudhiiii mfyuuuuu

Eeh!! We hamnazo kweli, sasa wewe unadhani mi kutwa humu nipo kwa ajili gani? Kuhubir injili au kuuza sato na sangara ebu nipishe mie, ule ubuyu sijui ulikuwa unahusu nini, maana kichwa cha habar tu nimesisimka mwili na roho
 
Hhhhhhaaa ukomeeeee mi sikusimuliii naujua
 
Msimsene. Mwana holywood Elizabeth Tailor R.I.P aluolewa mara 8. kati ya hizo ndoa mbili zilikuwa za wanaume waliokwisha peana divorce wakaamua kurudiana na kuoana rasmi.
 
Hhhhhhaaa ukomeeeee mi sikusimuliii naujua

Nitapewa tu kule Pm wala sina shida, binamu kuna video nimeona ya beki tatu wa uganda akimbutua mtoto wa boss wake, yan ukiona lazima usisimke na tumbo la uzazi likuume japokuwa huna mtoto ata wa dawa, yan inatisha sana binamu, mi nimelia kweli, naona alirekodiwa wakat mabosi zake wapo kazin ili kujua yanayojir nyuma sasa ndo hayo, beki tatu anamkanyaga mtoto mdogo, anamtupa kule anambamiza kwenye tiles , ila nasikia baba wa huyo mtoto kampasua vibaya mpaka hajitambui haongei wala hali, anapumulia mipira *****, na akitoka uko moja kwa moja jela, labda aombe mungu afe
 
Umbea huu naomba nijulishe na mie kilihapen nini

Nimeambulia kichwa cha habari tu sijui diamond,penny, esma na halima kimwana kimenuka, ile nachungulia ndani naona thread removed, nani sijui aliuanzisha ule uzi ila Honey Faith atakuwa kaupata mpaka atupe ule ubuyu aseeh
 
Last edited by a moderator:
Nitapewa tu kule Pm wala sina shida, binamu kuna video nimeona ya beki tatu wa uganda akimbutua mtoto wa boss wake, yan ukiona lazima usisimke na tumbo la uzazi likuume japokuwa huna mtoto ata wa dawa, yan inatisha sana binamu, mi nimelia kweli, naona alirekodiwa wakat mabosi zake wapo kazin ili kujua yanayojir nyuma sasa ndo hayo, beki tatu anamkanyaga mtoto mdogo, anamtupa kule anambamiza kwenye tiles , ila nasikia baba wa huyo mtoto kampasua vibaya mpaka hajitambui haongei wala hali, anapumulia mipira *****, na akitoka uko moja kwa moja jela, labda aombe mungu afe

Binam hiyo video usipotokwa machozi ni huna machozi, ,,yaan nimehisi huyu mtoto ni wangu, yaan hata mimi ningemkutaniza ningempasua, ,aisee kumbe tununue camera kabisa unategesha sehemu ili ujue yanayoendelea nyumbanii
Mpaka najuta kuiangalia najuta nimeumia jamanii,,,huyo mwanamke afe tu jela haimtoshi
 
Binam hiyo video usipotokwa machozi ni huna machozi, ,,yaan nimehisi huyu mtoto ni wangu, yaan hata mimi ningemkutaniza ningempasua, ,aisee kumbe tununue camera kabisa unategesha sehemu ili ujue yanayoendelea nyumbanii

Mi hadi nimelia nimeuzika roho imeniuma hadi nilivokua naangalia nikatetemeka mi ningemumeza ana roho mbaya
 
Back
Top Bottom