Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Sasa uzi umefutwa unataka ujue ninii?? Umbea tu, mi mwenyewe hua wananiudhiiii mfyuuuuu
Kiruuu Uzi gani wameufuta tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uzi umefutwa unataka ujue ninii?? Umbea tu, mi mwenyewe hua wananiudhiiii mfyuuuuu
Kiruuu Uzi gani wameufuta tena
Yaan unakuta mtu kakumention halaf ukiangalia notification unakuta delete post
Basi chaumbea warumi ndio anataka ajue
Sasa uzi umefutwa unataka ujue ninii?? Umbea tu, mi mwenyewe hua wananiudhiiii mfyuuuuu
Eeh!! We hamnazo kweli, sasa wewe unadhani mi kutwa humu nipo kwa ajili gani? Kuhubir injili au kuuza sato na sangara ebu nipishe mie, ule ubuyu sijui ulikuwa unahusu nini, maana kichwa cha habar tu nimesisimka mwili na roho
Hhhhhhaaa ukomeeeee mi sikusimuliii naujua
Umbea huu naomba nijulishe na mie kilihapen nini
Hhhhhhaaa ukomeeeee mi sikusimuliii naujua
Umbea huu naomba nijulishe na mie kilihapen nini
Nitapewa tu kule Pm wala sina shida, binamu kuna video nimeona ya beki tatu wa uganda akimbutua mtoto wa boss wake, yan ukiona lazima usisimke na tumbo la uzazi likuume japokuwa huna mtoto ata wa dawa, yan inatisha sana binamu, mi nimelia kweli, naona alirekodiwa wakat mabosi zake wapo kazin ili kujua yanayojir nyuma sasa ndo hayo, beki tatu anamkanyaga mtoto mdogo, anamtupa kule anambamiza kwenye tiles , ila nasikia baba wa huyo mtoto kampasua vibaya mpaka hajitambui haongei wala hali, anapumulia mipira *****, na akitoka uko moja kwa moja jela, labda aombe mungu afe
Binam hiyo video usipotokwa machozi ni huna machozi, ,,yaan nimehisi huyu mtoto ni wangu, yaan hata mimi ningemkutaniza ningempasua, ,aisee kumbe tununue camera kabisa unategesha sehemu ili ujue yanayoendelea nyumbanii
Mi hadi nimelia nimeuzika roho imeniuma hadi nilivokua naangalia nikatetemeka mi ningemumeza ana roho mbaya
Labda sio mzima,mi namfikiria hata simuelewiii ,,