Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Arudi haraka sana aje asome tandabui hapo na mihogo ya kukaanga inamsubiri kwa hamu mteja mpya
 
Kusoma nje ya Tz hata kama bure exposure muhimu .Kama amepata nafasi monalisa goo for it.my dear ukikosa nyamaza tu.Inaonyesha ulivyo mswahili kwani hata angesoma mtwara au Zimbabwe kwani si mtoto wake
 
Kwanza ni washamba utatokaje tanzania eti uende kusoma unkraine uache Minchi kibao ya maana huko ulaya. Ushamba mzigo
 
Sasa monalisa haelewi hizi mambo yy anajua bongo muvi tu
 
Exposure inatafutwa German, Spain, Norway, Belgium, ulaya magharibi lakini ulaya mashariki huko ukrain afadhali angeenda hata songea st joseph au hata morogoro angerudi anajua hata kupika wali kuliko huko
Aisee
 
Aisee
 
Mi naona andiko limekaa kiwivu wivu tu,umasikini wa ulaya mashariki ndio uufananishe na wa afrika mashariki kweli??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeaaah ni ile iliyoko chandarua, ambapo ilikua stand ya ma bus ambapo imegeuzwa soko la mazao, baada ya stand mpya ya shule ya tanga.

Au wee unasemea ya kule Ruhuwiko?
Hahahha... umenikumusha mbali sna aisee...ulipotaja Ruhuwiko,.... watu wa songea ni wakarimu sana kule..

Wananifurahisha wanavyoongea .. eti "mwanamama", "mwanababa"..

"Gung'ombe gukubwa"... !

Nimekula sana pitiku huko na wale dagaa nyasa
 
Hahahha... umenikumusha mbali sna aisee...ulipotaja Ruhuwiko,.... watu wa songea ni wakarimu sana kule..

Wananifurahisha wanavyoongea .. eti "mwanamama", "mwanababa"..

"Gung'ombe gukubwa"... !

Nimekula sana pitiku huko na wale dagaa nyasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "limbuzi likubwa" "libeberu linanuka kimbala mbala"
Karibu tena Songea. Hahahah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wangu: wengi humu nadhani hatujatoka humu TZ kwenye himaya ya CCM na kwenda nje kutafuta maisha. Ndo maana comments zetu ni za kusoma Mzumbe na kuajiriwa Posta…au kuwa kada mtiifu upate U-DC….ukisoma comments nyingi utaligundua hilo. Mtu aliyepambana kuyatafuta maisha hawezi comment Kama wengi wetu humu. Wewe ukipata fursa hata ya kwenda Mongolia au Uzibekistan au Afghanistan au Cuba……..wewe nenda tuu. Mwenda bure si mkaa bure.
maisha yana fursa nyingi sana. I wish watu mngejua raia wa Ukraine waliojazana kwenye nchi nyingi za kiafrica especially zile zenye vita….South Sudan, CAR, Mali nk. Hao ndo wana supply helicopters na vifaa kibao vya kijeshi. Nchi nyingi za dunia ya tatu wanategemea silaha na vifaa vya Ukraine.

hivi mnajua hata silaha zinazowalinda humu bongo nyingi zimetoka Ukraine? sasa hivi serikali zetu nyingi zinahaha watatoa wapi vipuri. Maana silaha za magharibi hatuwezi kuzimudu.

mimi sijawahi kusoma ukraine..Ila nimewahi kufika Kiev. Bahati mbaya wengi humu hizi nchi tunazijua kwa stories za vijiweni.

tupende kutembea tutajifunza mengi.
 
Kichekesho huwa tu ni pale Ajira wanakuja kuzitafuta hukuhuku walipokataa..
 
Sio wewe ndio mshamba? We ulisoma wapi Havard au?
Tatizo jf huwa hatujisajili kwa vyeti vyetu
Mkuu nimeosoma chuo namba 60 duniani kwa ukubwa na ubora na kipo nchi mojawapo ya Western Europe kwa taarifa yako na sio kinchi maskini kama Ukraine. Tukiongea tuna fact huwa hatuongei tu.
#leoninamoodyakujibu.
Bye siku njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…