Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Bora we umeongea mambo ya msingi sana!na mmekuelewa mnoo kaka big up kwa ushauri mzuri ht kwa wengine!
 
kumbe bongo ajira sahizi nje nje
 
Kwani hivi vita vimechangiwa kivyovyote na hiyo story ya Mona Lisa na mtoto wake
 
kumbe bongo ajira sahizi nje nje

Ajira zipo. Big 4 zinaajiri kila mwaka ila vigezo na masharti kuzingatiwa.

Uwe na div 1 iliyonyooka O level na A level na gpa iliyonyooka kwenye kozi za uhasibu kutoka mzumbe ama udsm.

Ajira shida ni kwa kozi zingine. Ila uhasibu haujawahi kuwa na shida ya ajira kwa wenye gpa kubwa above 4.0 na div 1 za point 3 mpaka 5 ambazo ni level za kuingia kpmg, delloite, ey ama pwc
 
Hizo A zake zakukariri itakuwa

Mtu mwenye A isiyo yakukariri lazima azifahamu nchi nzuri zenye vyuo vizuri, mfano nchi ya russia iliyopo eastern europe kwa maswal ya siasa vyuo vyao vipo vizuri

Anaacha kwenda USA, Canada, Scandnavia, UK
Vyuo vya huko ada kwa mwaka mil 50. Ukraine ni kama mil 3
Ila nae ni mburula angekomaa atafute scholarship
 
Monalisa hatakiwi kutulalamikia wanzengo maana tumempamba mwanae kwa miaka tele tangu mwanae apate A za kutosha O level mpaka A level na kumsakama paula staki shule ila kajala hakuwahi kutusimangia vyuo vyetu
Hili la kupanda vyuo vyetu hata mimi lilinikera lakini la kusomeaha mtoto Ukraine sioni kama ni kosa kama uwezo unao. Hata Wazungu wa Magharibi na Marekani hupeleka watoto nchi za Mashariki kwa masomo ya u daktari kama hawajapata vyuo huko kwao.
 
Monalisa apitie hii comment ajione alivyo boya[emoji16][emoji16]
 
Wabongo tunaongoza kuwapangia watu maisha wakati yetu yametushinda.
Hakuomba mchanga wa ada, kampeleka kwa pesa yake, na mtoto alifaulu vizuri sasa shida iko wapi. Mbona kuna watu wanakimbia Tanzania wanaenda tafta maisha nchi maskini zaidi ya Tanzania hapa Afrika,
Mbona kuna wazungu uwa wanakuja kusoma hapa tena vyuoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…