Monastir ni timu nzuri kiufundi na imetimia kila idara lakini wanakutana na Yanga iliyotimia zaidi na yenye njaa ya mafanikio

Mission accomplished, sikuwa na wasi wasi na yanga kwa kuwa wameimarika na wanazidi kuimarika, wana timu na benchi bora la ufundi, Monastir licha ya ubora wao nilitegemea wasingeweza kukiepuka hiki kikombe, bravo wananchi
 
Vipi bado unaota?
 
Dah! Umepuyanga mpaka basi! ☹️
 
Kuna timu ya hapa Bongo imetinga robo fainali kwa kishindo lakini mashabiki wake hawana furaha!
 
Bado umekaa au umenyanyuka
 
Badilisha ID yako iwe chunguuu na sio tamuuuu, jitokeze sasa umekimbilia wapi🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…