Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Ukiona hivo ujue haikuhusukwani hao uliowataja ndo kina nani? mimi hapa chaka...wengine tupo huku Namanyere Nkansi mjue!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivo ujue haikuhusukwani hao uliowataja ndo kina nani? mimi hapa chaka...wengine tupo huku Namanyere Nkansi mjue!
Kushnei....!!!haya ndo kila kitunini tena zaidi ya haya ndugu yangu.........wewe unaona kuna kingine kinachofaa kwa sasa......?......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwani hao uliowataja ndo kina nani? mimi hapa chaka...wengine tupo huku Namanyere Nkansi mjue!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeehh!team Zari mna kaziKiufupi jamaa ana hali mbaya tunaomjua tunamsikitikia hayupo sawa, mlevi,haendi studio nguvu kubwa ya ushirikina na stress vinamtesa
[emoji23] [emoji23]Na hivi mishahara haipandi acha tutumie Wi-FI za ofisi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja niandae maandamano ya kupinga mondi kukimbia madale na kumshinikiza hamisa amuache mondi
Najua hapo jiji lazima lizizime
Anaongelea wabunge wa ccmkwani hao uliowataja ndo kina nani? mimi hapa chaka...wengine tupo huku Namanyere Nkansi mjue!
Yule na amisa wote wadangaji tu,wamemfuata chibu kwa visenti vyakeha ha ha mtu keshachanganyikiwa tayari, malipo ni hapa hapa duniani..Hakuna kitu kibaya kama mwanamke mwaminifu akikuacha kwa sababu tu ya uhuni wako.
Yote heri chibu alipokosea na kutembea n wadangaji,angetafuta mwanamke wke mwenye elimu ajenge nae maisha?yeye kuchwa kukimbizana na wauzaji wa bongo movie etc.yaah!
INAUMIZA KIMSINGI!
alikuwa na hustle zake very inspiring!
LAKIN WELL
pengine ATANYANYUKA TENA!
pengine HAJAANGUKA KABISA!
YOTE KHERI LAKIN!
Yule nae alikua mdangaji tu alimpendea hela akijua kijana hela anayo,angekua hana pesa asingezaa nae fastafasta ili ammilikiAna uaminifu gani?? nyie ndo mlikua mnakaa nae 24seven? jamani mbona mnamwonea D? watu wanabeba siri zao mmeshamsikia D akisema lolote kwa sbb alimuheshimu na labda hata hii ya ktk nje pia ilikua na sbb kwani kaanza nae leo?? mbona haku mcheat huko nyuma
hahaaaa utarudia tena ??? inamaana unampango wa kuiandika post hii kwa Mara nyingine tena ....?? duuuhh"""Taarifa za uhakika kabisa nilizopata toka kule madale ni kwamba hali sio shwari kwani msanii wetu mkubwa yuko katika ugomvi mkubwa na mamaye chanzo kikiwa ni mama mtoto wake Mobeto.Inasemekana kwamba hatua ya Mond kuondoka madale ni baaada ya mama mzazi huyo kukutaa uhusiano wa Mond na Hamisa,kwani kwa sasa wamerudiana.Mama Mond anaamini mwanae kwa sasa amepigwa misumali kwani tangu atoke white house madale anaishi nyumbani kwa kina mobeto na amekuwa mnywaji kupindukia.
Nitarudi tena.
tumerogwa na warogaji "" yarabi tobaUnaambiwa ukitaka kujua stori za tajiri au aliyefanikiwa, mpaka chupi unayovaa, chakula anachokula basi utaipata kwa maskini au jobless...
Ukitakajua boksa anayovaa Bakhersa basi nenda pande za Tandale huko, Temeke..utazipata
Sijui tumelogwa na nani yarabii toba
Kisa kaachwa na wasouth ndio maana ana stress?Kiufupi jamaa ana hali mbaya tunaomjua tunamsikitikia hayupo sawa, mlevi,haendi studio nguvu kubwa ya ushirikina na stress vinamtesa
ha ha ha mtu keshachanganyikiwa tayari, malipo ni hapa hapa duniani..Hakuna kitu kibaya kama mwanamke mwaminifu akikuacha kwa sababu tu ya uhuni wako.