Tetesi: Mond atimka Madale,chanzo Hamisa

Tetesi: Mond atimka Madale,chanzo Hamisa

Ngoja niandae maandamano ya kupinga mondi kukimbia madale na kumshinikiza hamisa amuache mondi
Najua hapo jiji lazima lizizime
 
Sasa atapataje Dili za hela wakati hata mtaani tuu Supu za makongoro watu hawawezi kula.Sembuse kushiriki matamasha.Nadhani hata makampuni nayo pia yamepunguza matangazo na wafanyakazi.
 
Kiufupi jamaa ana hali mbaya tunaomjua tunamsikitikia hayupo sawa, mlevi,haendi studio nguvu kubwa ya ushirikina na stress vinamtesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeehh!team Zari mna kazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] team zarina Hassan kwenye ubora wenu
 
yaah!
INAUMIZA KIMSINGI!
alikuwa na hustle zake very inspiring!
LAKIN WELL
pengine ATANYANYUKA TENA!
pengine HAJAANGUKA KABISA!
YOTE KHERI LAKIN!
Yote heri chibu alipokosea na kutembea n wadangaji,angetafuta mwanamke wke mwenye elimu ajenge nae maisha?yeye kuchwa kukimbizana na wauzaji wa bongo movie etc.
Ni upepo utapita kma atatulia na kufocus kwenye mziki wke
 
Ana uaminifu gani?? nyie ndo mlikua mnakaa nae 24seven? jamani mbona mnamwonea D? watu wanabeba siri zao mmeshamsikia D akisema lolote kwa sbb alimuheshimu na labda hata hii ya ktk nje pia ilikua na sbb kwani kaanza nae leo?? mbona haku mcheat huko nyuma
Yule nae alikua mdangaji tu alimpendea hela akijua kijana hela anayo,angekua hana pesa asingezaa nae fastafasta ili ammiliki
 
Taarifa za uhakika kabisa nilizopata toka kule madale ni kwamba hali sio shwari kwani msanii wetu mkubwa yuko katika ugomvi mkubwa na mamaye chanzo kikiwa ni mama mtoto wake Mobeto.Inasemekana kwamba hatua ya Mond kuondoka madale ni baaada ya mama mzazi huyo kukutaa uhusiano wa Mond na Hamisa,kwani kwa sasa wamerudiana.Mama Mond anaamini mwanae kwa sasa amepigwa misumali kwani tangu atoke white house madale anaishi nyumbani kwa kina mobeto na amekuwa mnywaji kupindukia.

Nitarudi tena.
hahaaaa utarudia tena ??? inamaana unampango wa kuiandika post hii kwa Mara nyingine tena ....?? duuuhh"""
 
Unaambiwa ukitaka kujua stori za tajiri au aliyefanikiwa, mpaka chupi unayovaa, chakula anachokula basi utaipata kwa maskini au jobless...

Ukitakajua boksa anayovaa Bakhersa basi nenda pande za Tandale huko, Temeke..utazipata

Sijui tumelogwa na nani yarabii toba
tumerogwa na warogaji "" yarabi toba
 
ha ha ha mtu keshachanganyikiwa tayari, malipo ni hapa hapa duniani..Hakuna kitu kibaya kama mwanamke mwaminifu akikuacha kwa sababu tu ya uhuni wako.


Anauaminifu gani!? Hivi unajua D kwa nini kamuacha Zari? Bibie alicheat hakujua Kama mondi ataipata hiyo habari Zari alicheat na Daudi Kanyau kwa wanaomjua wanajua shughuli yake hapa bongo ilikuwa nini. Sikuhizi kanyau kahamia SA anahela mbaya na bibie ndio zake kama unakisu kikali unakula nyama akajiachia bila kujua kanyau ni mswazi wa migomigo akavujisha siri hiyo kitu imemuuma sana mondi na pengine anayoyafanya sasa Anafanya ili kumuumiza zari, hata watoto hana time nao. Pia ile nyumba ya SA ni ya kinje mondi alimpangia Zari sasa sijui ataendelea kulipa kodi au la maana wanafanya Siri Kuwa ni yake lakini ukweli si yake.
 
Back
Top Bottom