Monday Morning Special!!

Nimekupenda bila pesa. Muhusika akikosa tafuta namna umwambie. Kugombana wagombame wao huko PM wakiyaleta hapa watu wanashadadia kwani wakati wanafatana mpaka yakatokea yaliyotokea walitutaarifu.

Halafu mambo binafsi ya PM kuyaleta hapa jukwaani ni uzwazwa. Wagombane huko PM sisi hayatuhusu.

Hii tabia ya fulani akipishana kiswahili na fulani kundi la fulani linamnunia fulani ni tabia za la 4 B ikiwa chanzo wanakijua wao na ukweli wanaojua wao. Wengine wako kuchafua watu tu hapa tuwe makini jamani.
 
Ameeen
 
Asanteeeee
 
Mwenyewe nilikuwa sijui, ila siku nilokuja kujua nilishangaa!! Unaambiwa usimseme vibaya fulani ana watu wake.

Lakini hata kwa macho za kawaida tuu unaweza kuona!! Mie nimezoea kukenua na kila mtu wa kununa anune tuu!!
Cheka na kila mtu Hii mitandao ina mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…