sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
Nimekupenda bila pesa. Muhusika akikosa tafuta namna umwambie. Kugombana wagombame wao huko PM wakiyaleta hapa watu wanashadadia kwani wakati wanafatana mpaka yakatokea yaliyotokea walitutaarifu.Tatizo la humu ndani ni UNAFIKi tuu hakuna linginee!! Sio kwa wanaume wala wanawake wote ni WANAFIKI!!!
Kama unajua Sakayo kakukosea kwa nini usiniambie mimi kama msamaha nikuombe?! Tabia ya kuanzia sijui ni mavikundi yamnunie Sakayo sababu kakusosea ni unaaa!
Sisi ni watu wazima, mambo za kitoto tuache haya yatabaki kuwa maisha tuu!!
Halafu mambo binafsi ya PM kuyaleta hapa jukwaani ni uzwazwa. Wagombane huko PM sisi hayatuhusu.
Hii tabia ya fulani akipishana kiswahili na fulani kundi la fulani linamnunia fulani ni tabia za la 4 B ikiwa chanzo wanakijua wao na ukweli wanaojua wao. Wengine wako kuchafua watu tu hapa tuwe makini jamani.