Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Subiri nikununie na mm
Wewe huwezi kabisaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Subiri nikununie na mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanzaje sasa kutoweza mara paaap nakununia kila sehemu mpaka jf ukiniqoute sikujibi yaani kama sikuoni vileHahaha
Wewe huwezi kabisaaa
Mmmmh[emoji15] [emoji15]Uko nyuma kweli. Nini vikundi kuna mpaka whatsapp group nasikia za kusakama members humu.
Ndiyo mpunguze kudanga, mnaomba pesa mno mpaka wachunwaji wanahisi uchungu.Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea humu.
Inatosha kuwa mtu mzima kujua kipi niweke wazi kwenye mtandao kipi nisikiweke wazi. Kwa mimi naona ni jambo baya kuweka ugomvi wa matusi na mahusiano kwenye mtandao ambao hujui nani utakutana nae kesho.
Ukiwa kwenye ugomvi unaoweza kuuepuka uepuke. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Hutaonekana mnyonge kwa kumdharau mtu anaekukosea. Hata huyo mtu akiandika mara mbili tatu akiona humjibu ataacha tu.
Umetengeneza marafiki kaa nao kwa amani. Kupishana ni jambo la kawaida kwa binadamu. Usitake kupishana kwako kidogo na mtu kuwe ndo bifu ulibebe mgongoni.
Tuifanye JF kuwa sehemu salama. Tukumbuke kuna maisha baada ya mitandao. Maisha hayaishii leo hapa JF. Kuna kazi kuna watoto kuna ndugu. Usijiangalie wewe unaendika ujinga humu. Angalia na wengine walio nyuma yako.
Hakuna mtu aliepewa medal kwa kupenda kutukanana mtandaoni sana sana watu wanakudharau.
Nashangaa JF niliyoingia kwa mapenzi yangu watu wanachaguliana wa kuongea nae wa kucheka nae. Guys huku uliingia mwenyewe. Usifanye jambo kumfurahisha mtu ulomkuta humu ambae hakuchangii hata bundle. Mtu anakwambia kamtukane mzigua na wewe kwa kuwa akili yako haijui kuchanganua mambo unakuja unanitukana kweli.
Huku ni home of GT embu tuishi basi kama GT.
Nimesema haya baada ya kuona watu wanajisahau sana na hii mitandao hasa humu.
JF mikono juu kuna UNAFIKI sana.Nakazia
Usicheke nilifanya nikiwa na hasira ila sio vixuri kumdhalilisha mtu ujue nikaona hii plan niache besides hakuna alonikosea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka sana
[emoji144]Asanteeeee
Nakazia tena halafu agiza kinywaji chochote nakuja kulipaJF mikono juu kuna UNAFIKI sana.
Ukitaka kuishi JF kwa raha ujanja ni kupuuza kila kitu humu. Na kujifanya mjinga.
Ile ya Gold [emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia tena halafu agiza kinywaji chochote nakuja kulipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipi hiyo gold zipo nyingiIle ya Gold [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweliUkiingia vitani lazima uwe na silaha ukizidiwa unalipua tu
Hivyo vipicha unavyomtumiaga wahtasspp kuna siku atakulipua navyo.mwanafunzi wangu huyo anajua kwa kunipata ntamfundisha au jmosi mkikutana umfundishe[emoji23]
Ile ya kwenye chupa ya kijani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipi hiyo gold zipo nyingi
Chupa za kijani zipo nyingi sana [emoji23]Ile ya kwenye chupa ya kijani. [emoji23][emoji23]
Hujaona meseji zangu?? Sio poa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli
Ila kusamehe muhimu.unaangalia mungu kakupa baraka ngapi.then unamove on[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli