Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa no mbunifu sana. Wimbo japo kuna watu wanajaribu kuudis but tayari ni gumzo kila kona ya hii nchi. Vibanda vyote vinavyoingiza nyimbo kwenye simu, memori card, na hata flash siku mbili hizi wamepiga pesa sana. Unaambiwa kuna foleni KUBWA kila mtu anataka kuupata huu wimbo.
Mondi kwenye video yake mpya ya wimbo wa kanyaga kagongesha watu kwata kama Michael jackson. Video ni nzuri, kwa kweli Mondi ni noumar.
Yaani una maanisha kwamba akimuona unasisimka yaani sijui unakuwa unajisijikiaje ...yeah iko hivyo hiyo hata diamond platnum anayo ....Ila power ya MJ imeshindikana. .. yaani imepitiliza viwango vya ushirikina .... Kuna clip niliiona akiwa Moscow yaani raia wanapata tabu wanamkimbilia tu nyomi la watu kibao kama 500 yao hiyo sio show .ni wamemuona mtaani tu ...basi bwana Kuna sehemu sijui Walikuwa location akatokea binti 1 hivi akapewa nafasi ya kumsalimia Michael Daah yule dada akawa analia ..anasema I can't blv ..Ohhh my god huu sio muujiza au ninaota .Michael ni wewe kweli ..yaani yule dada hapo amepewa chance ya kumshika mkono tu Michael akiwa ndani ya gari dada wawatu analia aise. ........ Daah yule jamaa sijui freemason walimpaka pika vipi sio kwa ule mvutoNilibahatika kumuona karibu kama hatua tano alivyokuja Bongo 90"s..ukimtazama jamaa alikuwa anatisha (sio ubaya)bali jamaa alikuwa na power fulani watu wanazimia..alafu ananukia kama jini
HahahaMkuu the cigarette that you are smoking is not good for you healthwise, just LEAVE IT ALONE before it is too late.
Hivi wanacheza kama Michael Jackson au wanacheza [emoji445]Mugambo wanaruka na kukanyagana[emoji445]
Labda useme amefika level za kina Juma Nature..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Honestly niileta hapa kupima upepo watu mtareact vp. Najua kabisa MJ ni level ya mbali sana.Mkuu the cigarette that you are smoking is not good for you healthwise, just LEAVE IT ALONE before it is too late.
UMENENA !!Anaelekea kuwa level ya Michael Jackson wa Bongo
Sawa lakini hamfikii Yesu na Wiliam sheckspear.Jamaa Akili yako itakuwa imeganda. .Hivi una mjua MJ vizuri wewe ??
Yaani kabisaa una m-compare MJ binaadamu ambaye shughuli za mazishi yake ndio shughuli ambayo ina shika nafasi ya kwanza kwa kutazamwa na watu duniani nzima. ..Tangu technology ya TV na social network ilipoanzishwa. ...
Labda nikusaidie tu kukuelewesha kwamba Michael Jackson ndiye binaadamu maarufu kuliko binaadamu wote wanao ishi na walio wahi kuishi karne ya 21
Sawa lakini hamfikii Yesu na Wiliam sheckspear.
Harufu ya jini ndio ikoje??Nilibahatika kumuona karibu kama hatua tano alivyokuja Bongo 90"s..ukimtazama jamaa alikuwa anatisha (sio ubaya)bali jamaa alikuwa na power fulani watu wanazimia..alafu ananukia kama jini
Kama pilaoHarufu ya jini ndio ikoje??
Wewe sema tu kuwa ulikuwa umetoka kuvuta bangi chooni. ...tutakuelewa tu mkuuHonestly niileta hapa kupima upepo watu mtareact vp. Najua kabisa MJ ni level ya mbali sana.
Mondi type yake ni kina Jose Chamelione n alike.
Hapana mkuu. Nilikuwa napima upepo....Wewe sema tu kuwa ulikuwa umetoka kuvuta bangi chooni. ...tutakuelewa tu mkuu
Hapana mkuu. Nilikuwa napima upepo....
Lol,Unaelewa nini mtu anapo kuambia karne ya 21 ?
Tena apige magoti na kilio cha makamasi,Basi tuna kuomba umtake radhi late MJ ...maana kazi aliyoifanya duniani ilikuwa ni kubwa mnooo
Aamen ...Jamaa nilikuwa na muhusudu sana. ..Tena apige magoti na kilio cha makamasi,
Daah MJ pamoja na umaarufu wote hakua na jeuri wala dharau wala majivuno, zaidi alinikosha vile alivyokua na aibu kali,
May his soul continue to rest in peace.
Usisahau pia kumpa pale alivyoona kinyaa kukanyaga ardhi ya AfrikaTena apige magoti na kilio cha makamasi,
Daah MJ pamoja na umaarufu wote hakua na jeuri wala dharau wala majivuno, zaidi alinikosha vile alivyokua na aibu kali,
May his soul continue to rest in peace.
Unataka kusema MJ hakuwahi kukanyaga AFRICA??Usisahau pia kumpa pale alivyoona kinyaa kukanyaga ardhi ya Afrika