peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Feb 11, 2024 #1 Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila. Wamasai ni moto wa kuotea mbali. 1. Sokoine - Monduli 2. Lowassa - Monduli Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro. Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila. Wamasai ni moto wa kuotea mbali. 1. Sokoine - Monduli 2. Lowassa - Monduli Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro. Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,189 Reaction score 7,853 Feb 11, 2024 #2 Duh. Kuna mengi ya kutafakari na watu wa maeneo waliyotokea. Leo hii Wana wafanyia figisu. Naona na stress ya kuona kabila lake likiangamizwa lilimuuma sana Mzee wetu EL, Nadhani.
Duh. Kuna mengi ya kutafakari na watu wa maeneo waliyotokea. Leo hii Wana wafanyia figisu. Naona na stress ya kuona kabila lake likiangamizwa lilimuuma sana Mzee wetu EL, Nadhani.