Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .

Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .

Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .

Noma kweli yaani !

 
Makonda ni yuleyule
 

Lema ni nabii?

Chadema sasa akili zenu mnadhihirisha sawa na wale wanyama wa great migration of Serengeti ..!!
 
.
 
Sio kweli ,tunachojua ni Lema kamwomba kaka yake mzee Mbowe wawe pomajo ili lema nae apate kuonekana na hakuna wakati makanda alimsalimia nabii fake Lema
 
Huyu kichaa na mwizi wa magari unamwita Nabii labda ni Nabii wa ukoo wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…