Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Ndio maana huwa mnazuiwa Kwenye mikusanyiko ya kitaifa. Mna Mambo ya hovyo Sana na siasa za kizamani.

Kumsalimia MTU hata kama hamuelewani ni ukomavu sio sifa. CHADEMA inaonyesha mkishika Dola kuna kaupuuzi Fulani hivi kakishamba mtakaonesha.... useless
 
Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .

Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .

Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .

Noma kweli yaani !

View attachment 2906981
Imekaa njema
 
Huwezi kumsalimia Wakala wa Shetani
 
Siyo mkono tu, angegoma hata kumpa mguu.
 
Ushamba tu.
Siasa ni sawa na mchezo wa karata au bao.
Ukizabwa bao usiondoke na kinyongo.

Lema ana utoto mwingi
 
Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .

Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .

Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .

Noma kweli yaani !

View attachment 2906981
Kwa hiyo Mbowe ni mnafiki na kaonyesha ishara ya kuunga mkono unafiki?
 
Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .
😂😂 Ila ww jamaa bhana 😂😂 hua unanifurahisha sana. Unauma huku unapuliza 😂
 
Mkuu ungetuwekea clip tukajionea kwa macho!
Hata hivyo asante kwa picha.
 
Kabisa yaani ! Hakuna kitabu cha Mungu kimekataza Nabii kuvaa gwanda
Wacha kumshirikisha Mwenyezi Mungu na mwizi wa magari.Mwenye akili Chadema ni Mbowe tu.Na yeye kinachomsaidia ni kukulia mjini.Hana kiki za kishamba na ni a true politician.
 
Back
Top Bottom