Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Mbowe kaepusha aibuKwa hiyo Mbowe ni mnafiki na kaonyesha ishara ya kuunga mkono unafiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe kaepusha aibuKwa hiyo Mbowe ni mnafiki na kaonyesha ishara ya kuunga mkono unafiki?
Smartness na Lema ni mbingu na ardhi.Hawezi ku act smart kwa sababu hana huo u smart.Sasa hata asipomsalimia inasaidia nini,hapo haja act smart.
Kwa mantiki hiyo Mbowe sio muwazi rohoni kwa kumsalimia Makonda?Ni uthubutu pia.. Lazima kuwa muwazi tangu rohoni
Unajua Makonda anaudhi sana, namwelewa Lema vizuri mno!Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .
Noma kweli yaani !
View attachment 2906981
Wacha kumshirikisha Mwenyezi Mungu na mwizi wa magari.Mwenye akili Chadema ni Mbowe tu.Na yeye kinachomsaidia ni kukulia mjini.Hana kiki za kishamba na ni a true politician.
Unaweza pia kuhubiri kwamba fulani ni fisadi lakini ukampokea na kuwa Mgombea wa Rais.Hii nimeipenda. Huwezi kuwa unahubiri kuwa Makonda ni mhalifu anayestahili kuwa gerezani halafu mkikutana unamsalimia kwa bashasha kana kwamba mambo ni shwari kati yenu. Ishi kile unachohubiri. Lema hana kosa lolote.
Yaap kakulia kijijini Machame kaja mjini mtu mzima.Ndio maana ushamba unamsumbua.Alianza kujihusisha na siasa kwa kutaka kugombea na TLP ikasemekana akapewa kidogo ajitoe.Au wewe umemjua Lema akiwa Chadema?Kwani Lema kakulia kijijini?
SafiNi kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .
Noma kweli yaani !
View attachment 2906981
Yaap kakulia kijijini Machame kaja mjini mtu mzima.Ndio maana ushamba unamsumbua.Alianza kujihusisha na siasa kwa kutaka kugombea na TLP ikasemekana akapewa kidogo ajitoe.Au wewe umemjua Lema akiwa Chadema?
Magu,tuheshimiane bhana.Shetani kama wewe kweli huhitajiki kupewa mkono.
Lema kukata mkono wa huyu muhuni ni sawa tuNi kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .
Noma kweli yaani !
View attachment 2906981
Kukataa unafiki ndio kutafuta Kiki?Lema anatafuta Kiki tu
Kwani mada ilikuwa tunazungumzia nani?Au unahamisha magoli?Mantiki yangu ilikuwa kuwalinganisha Mbowe aliyekulia mjini na Lema aliyekulia kijijini. Tukubaliane kwanza halafu ndio tuendelee na mlinganisho mwingine.Makonda alikuja mjini akiwa na umri gani ili tupime?
Hata mimi unafiki siupendi ,ukinihudhi lazima utapata feedback.ishara ya kupinga Unafiki
Na makonda anatafuta nn basi.Lema anatafuta Kiki tu