yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Sasa lema,mwizi,mropokaji na mvuta bangi awe na hadhi ya unabii?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulichokuwa tunazungumzia ni Mbowe kusalimiana na Makonda.Makonda hakukataa kusalimiana na mtu hivyo hoja yako ni mfu.Aliyekataa ni Lema ndio nikasema amekulia kijijini ana kaushamba.Hajui kwamba siasa sio uadui ni mielekeo tofauti.Angekataa Makonda ndio ingekuwa valid kumpima ukomavu wake tokea aje mjini.
Lema sio politician ni mwanaharakati.
Hana qualities za kucheza michezo ya siasa. On the other side Mbowe ni politician aliyekomaa kwenye fani yake.
Kama hata hujui tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati hilo ni tatizo lako.Umeishiwa hoja unakuja na assumptions za kitoto.Ni hivi Lema Yuko sahihi kutosalimiana na huyo muhalifu, na huyo Mbowe unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Anachokifanya Makonda kingefanywa na mpinzani mngesema ni mwanaharakati na sio mwanasiasa. Inaonyesha ww ni bendera fuata upepo, ukisikia neno unarukia ili ionekane na ww unaenda na wakati. Nikikuuliza unipe tofauti ya mwanaharakati na mwanasiasa Wala huwezi kutoa, utaishia tu kucheza na maneno.
Apostle kachafukwa na kondoo?,Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .
Noma kweli yaani !
View attachment 2906981
Yes,Ni hivi Lema Yuko sahihi kutosalimiana na huyo muhalifu, na huyo Mbowe unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Anachokifanya Makonda kingefanywa na mpinzani mngesema ni mwanaharakati na sio mwanasiasa. Inaonyesha ww ni bendera fuata upepo, ukisikia neno unarukia ili ionekane na ww unaenda na wakati. Nikikuuliza unipe tofauti ya mwanaharakati na mwanasiasa Wala huwezi kutoa, utaishia tu kucheza na maneno.
Nimeshawahi kukutusi wewe?Ametukana nimejibu.Au wewe mimi kutukanwa umeona sawa ila nikijibu ndio ushangae?Hivi mnawezaje kuandika lugha kama hizi? Hata kama hatuonekani ila tunaweza kujua wewe umelelewa kwenye familia ya namna gani
Kama hata hujui tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati hilo ni tatizo lako.Umeishiwa hoja unakuja na assumptions za kitoto.
Assumption zako za kijinga ndio zinafanya ukose hoja.CCM ikijifanya ina hoja inanihusu mimi nini?Kama hata hujui tofauti upo upo tu.Una hakika mimi ni CCM au unajifanya Sheikh Yahya?Au kila anayepinga unalosema ni CCM. Bado una safari ndefu sana kwenye kufikiri na kupambanua mada kimantiki.Hebu nipe tofauti Yao, maana huko ccm wote hujifanya ni wanasiasa, lakini mwanasiasa wa upinzani mwenye misimamo huitwa mwanaharakati. Nasema hivi, ww ni bendera fuata upepo ndio maana huna maelezo kuhusu mwanasiasa au mwanaharakati.
🤣🤣🤣 daah eti jizi la magari ni nabiiNi kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .
Noma kweli yaani !
View attachment 2906981
AmenHuku Tunduma kimewaka yaani Mbeya Hatari...historia inakwenda KUANDIKWA....
Kwanza mnaandamana lini? Msije niharibia ratiba zangu Kwa ujinga wenuHuku Tunduma kimewaka yaani Mbeya Hatari...historia inakwenda KUANDIKWA....
Alitabiri kuna punda atakufa na akafa pasina mawaa.Lema ni nabii?
Chadema sasa akili zenu mnadhihirisha sawa na wale wanyama wa great migration of Serengeti ..!!
Assumption zako za kijinga ndio zinafanya ukose hoja.CCM ikijifanya ina hoja inanihusu mimi nini?Kama hata hujui tofauti upo upo tu.Una hakika mimi ni CCM au unajifanya Sheikh Yahya?Au kila anayepinga unalosema ni CCM. Bado una safari ndefu sana kwenye kufikiri na kupambanua mada kimantiki.
Chadema wanaumia sana wakiona Mafuriko ya Wananchi Kwa Makonda 😁😁Makonda hata mimi nikikutana naye siwezi kumpa mkono. Muuaji anatakiwa atengwe na jamii.
Sio ukristo, nae kachemkaNi kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .
Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .
Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .
Noma kweli yaani !
View attachment 2906981
Mkuu mtu yyt ni nabii, yaani ht wewe ni nabii wa maisha Yako !Lema ni nabii?
Chadema sasa akili zenu mnadhihirisha sawa na wale wanyama wa great migration of Serengeti ..!!