Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Mmeshampa na unabii duh aiseee..Nyumbu ni nyumbu tu
Nabii Huwa mnachukuliaje?
Kila mtu ni nabii wa maisha yake kwanza!
Kujitakia,kujinenea,kujitamkia,kujiombea mazuri ni unabii tosha!
 
Lema ana kwama wapi? Siasa siyo uhasama, amenuna kabisa , Makonda na Mbowe mbona wamesalimiana vizuri tu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
kwenye biblia imeandikwa Kisasi ni Cha Bwana na mapambano yetu si ya Damu na nyama.

Kama biblia inasema kisasi ni cha bwana, na mapambano yetu si ya kimwili, inakuaje biblia hiyo hiyo inasema tupambanie haki, tupinge dhuluma, tuwasaidie wanaoonewa ? Make it make sense.

YEREMIA 22:3
Hili ndilo Bwana asemalo: Tenda haki na adili. Mwokoe mkononi mwa mdhalimu yeye aliyetekwa nyara.

ISAYA 1:17
takeni hukumu na haki; wasaidieni walioonewa; mpatieni yatima haki yake; mteteeni mjane.
seek justice, correct oppression; bring justice to the fatherless, and please the widow's cause
 
Assumption zako za kijinga ndio zinafanya ukose hoja.CCM ikijifanya ina hoja inanihusu mimi nini?Kama hata hujui tofauti upo upo tu.Una hakika mimi ni CCM au unajifanya Sheikh Yahya?Au kila anayepinga unalosema ni CCM. Bado una safari ndefu sana kwenye kufikiri na kupambanua mada kimantiki.
Unajenga hoja vizuri, tatizo lako ni matumizi ya lugha unayoitumia kuwajibu wale unao tofautiana nao kimtazamo, jitahidi "uwe na kifua" ili usivuke mipaka ukaamsha hisia mbaya kwa wengine dhidi yako.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nabii?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila CDM kwa vituko hamjambo nyie!
Kituko kilichochanganyika na unafiki ni kile cha ccm kuonesha uswahili wa kujifanya kutojua hata nini maana ya wasifu,aibu ya vile ipo tanzania pekee katika dunia hii.
 
Ndio maana huwa mnazuiwa Kwenye mikusanyiko ya kitaifa. Mna Mambo ya hovyo Sana na siasa za kizamani.

Kumsalimia MTU hata kama hamuelewani ni ukomavu sio sifa. CHADEMA inaonyesha mkishika Dola kuna kaupuuzi Fulani hivi kakishamba mtakaonesha.... useless
Hata akimuua baba ako?
 
Kwani kuitwa nyumbu kuna tatizo gani hadi utukane? Ma CCM yaliwapatia kweli kwenye hilo jina.
Cuf unaitaje ccm ndugu zenu katika unafiki maccm ni muendelezo wa unafiki au upo kimkumbo tu?
 
Unajenga hoja vizuri, tatizo lako ni matumizi ya lugha unayoitumia kuwajibu wale unao tofautiana nao kimtazamo, jitahidi "uwe na kifua" ili usivuke mipaka ukaamsha hisia mbaya kwa wengine dhidi yako.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ahsante.Tatizo la hao wanaoshindwa kujibu hoja kwa hoja na kubakia na name calling na matusi.Point noted.
 
Back
Top Bottom