Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Makonda ni kweli anatukana watu
Jibu ni kumpuuzia tu
 
Lema na Makonda hawana utofauti wote niwajinga. Lema anatabia zote za Makonda sema CDM haijapata nafasi ya kutawala. Lema ajifunze Kwa kiongozi wake Mbowe.
Bora wewe umesema kweli. Mi CCM na Mi Chadema ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu. Hivi vyama viwili vinatuharibia nchi. Tunahitaji chama kipya kisichokuwa na unafiki, majungu na fitina.
 
makonda hakumpa mkono lema akaacha kupokea salamu

bali lema alikua akisubiri salamu kutoka kwa komredi na kuambulia kuonwa kama karagosi ni kama alihisi kadhalilika kwa mkubwa wake kuongea na makonda na yeye kuchukuliwa kama mpita njia kumbe sio alipaswa kujishusha chini na ndivyo ilipaswa kuwa
 
Ni kweli kwamba ni siku ya Mazishi , lakini kama tulivyosema awali , kila kwenye jambo kubwa hakukosekani tuvituvitu tudogo tusitoonekana kirahisi .

Sisi wengine pamoja na msiba huu macho yetu ni kama yamefungwa shingo ya feni , tunaona yasiyoonekana kirahisi .

Nabii wa Mungu Godblesa Lema amegoma kumpa mkono wa salamu bwana Paulo Makonda kama ishara ya kupinga Unafiki , unaambiwa ilikuwa aibu sana ! ikabidi Mbowe aokoe jahazi , maana tayari wakuda wa vyombo vya habari walishaanza kusogea .

Noma kweli yaani !

View attachment 2906981
Lema ni mwizi hapo alikuwa anapiga mahesabu ta kuiba simu za waombolezaji hahaha
 
Lema na Makonda hawana utofauti wote niwajinga. Lema anatabia zote za Makonda sema CDM haijapata nafasi ya kutawala. Lema ajifunze Kwa kiongozi wake Mbowe.
Mbowe ni ovyo kabisa kila rushwa, fisadi, dikiteta uaji
 
Back
Top Bottom