Umeona hadi naibu waziri walivyomzungusha kwenye kisima tu ohh funguo hazipoDaaa yaan mp@k mkubw@ aje
Alaf mtuu anakuja analalamik serikal.ya ccm angal watendaj wa serikal ndio wanachafua hakika mh rais anakz ngum snaUmeona hadi naibu waziri walivyomzungusha kwenye kisima tu ohh funguo hazipo
Mradi wanasema ulishakabidhiwa kwa wananchi kumbe uongo....
Yaani kuna watu vichwa ngumu acha kabisa.Raisi unamwona hadi anakonda. Ana delegate akiwaamini alio delegate madaraka chini lakini wapi!! upigaji pesa uko palepale na uongo pale pale!! Naibu waziri asingekuwa makini akaipokea hiyo ripoti ndio ilikuwa imetoka hiyo.Hivi jamani pammoja na juhudi na hatua zinazochukuliwa bado kuna uzembe hivi wa hali ya juu. Na kwa nini hassa??? Mbunge kwanza ulikua wapi hadi mradi wa mabioloni unachezewa? Mkuu wa mkoa na hadi wa wilaya? Hadi waziri aje ndio haya madudu ya shughulikiwe?
Hao ndio utakuta wanabweka mishahara iongezwe kila siku kazi wanayofanya ndio hiyo ya kuhakisha wananchi hawapati maji.Mishahara kila mwezi wanapewa na migari mizuri na nyumba lakini maji hayatoki !!!!Alaf mtuu anakuja analalamik serikal.ya ccm angal watendaj wa serikal ndio wanachafua hakika mh rais anakz ngum sna
kuna uzembe hapa kwakweli. mpaka kiongozi aje ndio waruke ruke. wanashindwaje ku solve tatizo dogo kama hiloWAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kukuta wananchi hawapati maji kutokana na changamoto mbali mbali hali iliyopelekea kuchukua hatu ya kumsimamisha kazi Meneja wa mradi wa maji wa RUWASA Nevill D. Msaki.
Juhudi zinachukuliwa kwenye makaratasi na kwenye vyombo vya habari, field ni tofauti kwani pesa hazifiki kwa wakati na zikifika hazitoshiHivi jamani pammoja na juhudi na hatua zinazochukuliwa bado kuna uzembe hivi wa hali ya juu. Na kwa nini hassa??? Mbunge kwanza ulikua wapi hadi mradi wa mabioloni unachezewa? Mkuu wa mkoa na hadi wa wilaya? Hadi waziri aje ndio haya madudu ya shughulikiwe?....
Si ndio hap.sio poa kiukwel kwa hil hat kma.mh rais akiwa mkal ni halal.kwa huu utumboHao ndio utakuta wanabweka mishahara iongezwe kila siku kazi wanayofanya ndio hiyo ya kuhakisha wananchi hawapati maji.Mishahara kila mwezi wanapewa na migari mizuri na nyumba lakini maji hayatoki !!!!
kuna watu ugoi goi ni tatizo la kuzaliwa nalo.Hivi jamani pammoja na juhudi na hatua zinazochukuliwa bado kuna uzembe hivi wa hali ya juu. Na kwa nini hassa??? Mbunge kwanza ulikua wapi hadi mradi wa mabioloni unachezewa? Mkuu wa mkoa na hadi wa wilaya? Hadi waziri aje ndio haya madudu ya shughulikiwe?..
Kwann hii nchi imekuwa hvy mpak watumbuliwe ndio kujitambuaa asee wanakera mh rais anakz kwel.kwelkuna watu ugoi goi ni tatizo la kuzaliwa nalo.
yaani kama hapo kasimamishwa ndio akili zinarudi sasa.
Mkuu hiyo elfu 50,000 inahusiana na nini? Sijaiona kwenye post yako...!WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kukuta wananchi hawapati maji kutokana na changamoto mbali mbali hali iliyopelekea kuchukua hatu ya kumsimamisha kazi Meneja wa mradi wa maji wa RUWASA Nevill D. Msaki.
ukianza kuhesabu viongozi waandamizi ni wengi mno, follow up inakiwa ngumi, ila kuna vilaza wengi sana.Kwann hii nchi imekuwa hvy mpak watumbuliwe ndio kujitambuaa asee wanakera mh rais anakz kwel.kwel
Kwa hiyo hiyo elfu 50 walikuwa wakisubiri itoke hazina?Juhudi zinachukuliwa kwenye makaratasi na kwenye vyombo vya habari, field ni tofauti kwani pesa hazifiki kwa wakati na zikifika hazitoshi
Kazi nzuri Aweso! Mungu akubarikiWAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha na kukuta wananchi hawapati maji kutokana na changamoto mbali mbali hali iliyopelekea kuchukua hatu ya kumsimamisha kazi Meneja wa mradi wa maji wa RUWASA Nevill D. Msaki.
View attachment 1704490