Monduli: Waziri Jumaa Awezo akuta maji hayatoki kisa Sh. elfu 50, amtumbua Meneja mbele ya Wananchi

Wow beautiful,tunataka viongozi kama hawa,hakuna kuremba.Aweso hongera sana.
 
Ukweli kuna watu sijui tuseme ni dharau,au kuridhika!!! tusiseme mengi,anastahili kupata alicho pata.yaani ni zaidi ya uzembe na uvivu.
Halafu kajinenepea wala hana wasi wasi,ovyo sana.Awezo tumbua baba tumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…