Hapo sawa. Anga hizo. Alalalalalalaaaa...!Keshapigwa tayari, hi ni taarifa tuu.
Ukitaka tusadiki, screenshot hilo andiko uambatanishe.Kuna mahali nimekuta mtu ameniandika hivi
Like why?
Mmeniona wapi?
Wowowo gani tena?
Nyiee me mke wa mtu msiniandike andike plz,
Wowowo kwiyoo?
Unavutwa kwenye 18Ila Tangazo la nanilîi👿 limekaa kimkakati sana!!!
YoutubeWewe ni mwanaume.Wowowo umelipatia wapi?Au?
Labda uje inbox hapa wanakatazaLink?
Ni wewe kumbe ee, sijapenda kwakwelk"I Appreciate Since I Sent Ma Eyes On You"💕💕
Nenda youtube utalionaWeka tuione
Wacheka nene
Sifikiri kama unavaa kiatu namba 45Sifikiri kama afya yako ya akili ipo sawa.
Njoo youtube uone nilivyotumia bilion yangu kwa birthday yangu juziMkuu mara ya mwisho tulisikia unawafundisha wanawake ili wapate wanaume mabilionea 😂, tugawie basi hata buku buku bilionea penny 😂
Na kwako piaKuna shida mahali...
Huyo mtu alieniandika Mungu anamuooonaaMmh...! Mtu anaenda kupigwa za uso
Sio picha tu, youtube kuna video kabisa nendaNionee huruma tu nilivyokuja mbio nilijua umeweka kapicha.
MAGUFULI4LIFE.
Nenda youtube channel yanguWeka picha tuone kama kwel
We ni family member au?Wazazi wako wamekuzaa mtoto wa kiume wanaamini utachukua nafasi ya Baba kumbe we upo huku mtandaoni unajisifu una wowowo
Kulipoa eeKumeanza kuchangamka
Hamna, me namtafuta alieniandika vibayaKeshapigwa tayari, hi ni taarifa tuu.
We ndio uliniandika vibaya alafu unajikausha eeIla Tangazo la nanilîi👿 limekaa kimkakati sana!!!
Nenda youtube uone kabisaUkitaka tusadiki, screenshot hilo andiko uambatanishe.
Vinginevyo haya yatakuwa ni matangazo kama yalivyo matangazo mengine ya kibiashara, mungu vile!