Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Mimi leo naamini kabisaaa kuwa kichaa humu siko peke yangu..humu mwezi mchanga kibao..LOL..Money Penny..topic zako zina ukakasi kwa mfano hii ya leo..''topic zako zinapendwa na wanaume na sio wanawake JF''.. tayari ushajiweka class Fulani juu ya wanawake….sasa sijui unataka wachangie nini kama tayari ushaweka ' mazereu' alijisemea Bambino Zaidi ya matusi???...mimi nakushauri uje vingine, tumia 'pseudo name' create a customer base and then ndio u reveal your true identity...ulimwengu huu sio wewe bali service unayotoa...ukitoa service nzuri watu watakuja tuu...nakushauri kuwa 'nyutro' lugha ya ukakasi au kuumiza achana nayo..na kama umeamua kuwa hii ndio kazi yako ya kukuingizia kipato then work on language unaweza kuchukua class masomo ya ziada kukupika uwe mwandishi mzuri..I believe you have potential just like anyone else humu..so work on it
 
Nimependa hii
Screenshot_2020-04-30-15-36-46-404_com.opera.mini.native.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi leo naamini kabisaaa kuwa kichaa humu siko peke yangu..humu mwezi mchanga kibao..LOL..Money Penny..topic zako zina ukakasi kwa mfano hii ya leo..''topic zako zinapendwa na wanaume na sio wanawake JF''.. tayari ushajiweka class Fulani juu ya wanawake….sasa sijui unataka wachangie nini kama tayari ushaweka ' mazereu' alijisemea Bambino Zaidi ya matusi...mimi nakushauri uje vingine, tumia 'pseudo name' create a customer base and then ndio u reveal your true identity...ulimwengu huu sio wewe bali service unayotoa...ukitoa service nzuri watu watakuja tuu...nakushauri kuwa 'nyutro' lugha ya ukakasi au kuumiza achana nayo..na kama umeamua kuwa hii ndio kazi yako ya kukuingizia kipato then work on language unaweza kuchukua class masomo ya ziada kukupika uwe mwandishi mzuri..I believe you have potential just like anyone else humu..so work on it
Aisee
Kweli wanaume walisema
Wapo Kwa mbali wanachungulia watakuja pole pole
Me bado namshukuru Mdau na Research yake naona imezaa matunda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake wameanza kuchambana!!
Na ugomvi wao furaha yetu maana naanza kuona tu chupi twao njenje..[emoji23]
Kuna mmoja nimeiona nyekundu ina ua katikati! Mwengine yakijani imeandikwa ccm mbele kwa mbele[emoji23]
Huyu mwengine ndo kiboko ina rangi nne na imeandikwa "mjini mipango"!![emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1]acha ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom