Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

tuliza mchecheto bibie nime enda kuku angalia insta una fananaje siwez kufollow acc yako maana haija nivutia bali ile comment ya kwamba kuna kibuyu kama cha mshana jr ndo ilio nipeleka kule [emoji125][emoji125]

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
Lakini si umeenda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanawake bwana, me nadhani mkapike sasa mfuturu, wanaume wamwahawasoma vibaya mno
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
 
Wanaume WA JF wanasema hivi๐Ÿ˜‚

Hongereni mademu wa 6 Hannah Hawachi Dinazarde Binti1 Hawachi Tuttyfruity mnaopigana na mwanamke mmoja Tu ambae amewaumiza kichwa siku nzima hata KAZo zenu za maana hamjafanya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hamjaelewa kilichoandikwa Kwa usahihi kwenye uzi na bado akawashinda arguments kiume zaidi๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

hamjafanya kazi๐Ÿ˜‚ na bado mkamwingizia shekeli
Tumewaona, na tunamshukuru Mdau kwasababu bila yeye Money Penny asingeingiza hela nyingi Leo
Mjifunze kuwa ubaya sikuhizi haujengi unanufaisha watu tena unaingizia watu hela

Na wameamini kiasi gani wanawake hampendani, mngekuwa mnapendana msingeshinda masaa 12 mnaongea ujinga ambao Kwanza hata haikuwa unawahusu
Cc: Smart911 anasbo KENZY Extrovert kabanga Galileo_Gaucho sab Pablo
Chenchele
KakaJambazi Ushimen Will jr Bujibuji Hazard CFC G bznes SK2016 yuzazifu
Mgonga Like
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
 
Aisee nipo hapa toka mwanzo Thread sijaona mwanaume alienishangaa au wanakuja kunishangaa PM kwako???
Hapa nilipo nimesoma uzi sijahitaji akili kujua kwamba umeandikwa na mtu "desperate anapenda attention " Imagine conversations ulizoandikiwa PM unakuja kuzitengenezea uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila baada ya sentensi unaita wanaume...alafu hatuwaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119]dada agiza chochote nitalipia
Nmekupenda bure
 
Wanaume WA JF wanasema hivi๐Ÿ˜‚

Hongereni mademu wa 5 Hannah Hawachi Dinazarde Binti1 Hawachi mnaopigana na mwanamke mmoja Tu ambae amewaumiza kichwa siku nzima hata KAZI Kwa kutolewa kilichoandikwa Kwa usahihi kwenye uzi na bado akawashinda arguments kiume zaidi๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

hamjafanya kazi๐Ÿ˜‚ na bado mkamwingizia shekeli
Tumewaona, na tunamshukuru Mdau kwasababu bila yeye Money Penny asingeingiza hela nyingi Leo
Mjifunze kuwa ubaya sikuhizi haujengi unanufaisha watu tena unaingizia watu hela

Na wameamini kiasi gani wanawake hampendani, mngekuwa mnapendana msingeshinda masaa 12 mnaongea ujinga ambao Kwanza hata haikuwa unawahusu
Cc: Smart911 anasbo KENZY Extrovert kabanga Galileo_Gaucho sab Pablo
Chenchele

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss

makubwa hayaa
Money penny ni naniii
 
Yes
Posts zake za mwaka huu likes na viewers ni tia maji tia maji sasa badala atumie mbinu nzuri kutafuta followers yeye anatuchamba [emoji23]
Lol,
Nilikua nataka nione hiyo website yenye followers laki tano nikajisomee hadithi konkii

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Adjustments.JPG

Nimeshangaa mbona sioni maandishi kumbe nilikuweka kwenye ignore list
 
Lol,
Nilikua nataka nione hiyo website yenye followers laki tano nikajisomee hadithi konkii

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.

Heeeeeh!! Kumbe ni mwanaume!

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
 
Old bitch,single at 40.desperate former house maid.my ex girlfriend.nilimbikiri huyu miaka ya 80 akiwa la sita

Sent using Jamii Forums mobile app
Uuuwi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Yani leo.ni Raha sio Kwa traffic INAYOKUJA Juu Juu Juu ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
 
Hapo unapoteza muda ndugu
Me nilichofurahi NI kunisaidia kujitangaza website yangu bila mods kujua au kuona
Hapa Nina traffic ya kufa mtu
Mpaka MTU aje akae sawa kialiki channel urudi normal me nishaingiza hela za kufa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
Vita vya panzi, furaha ya money penny
Nitumie hiyo website pm,
Mbona wengine wanaiona kasoro mimi tu.

[emoji20]

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Lol this woman is full of herself. Before this thread I never noticed her.

Sent From Galaxy S9
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Maana nishakuwa noticed too๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nitumie hiyo website pm,
Mbona wengine wanaiona kasoro mimi tu.

[emoji20]

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Wakupatie walipoweka JF
Au ndio wameenda kupika?!
Subiri wakifuturu watakuja kukupa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
 
Back
Top Bottom