Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Mdau: Money Penny kwanini unapendwa zaidi na wanaume kuliko wanawake huku Jamii Forums?!
Wanao comment kwenye nyuzi zako wengi NI wanaume!
Wanaokusapoti JF wengi ni wanaume?!

Money Penny: sishangai, sio Jamii Forums Tu hata kwenye Jamii + Kazini + Kanisani + Shuleni + Vyuoni + nyumba za starehe n.k kwasababu zifuatazo:

1. Asilimia 80 ya marafiki zangu, wengi NI watoto wa kiume, wanaume, wenye uume [emoji125][emoji125][emoji125]
Na tangu NIMEKUWA na MARAFIKI WA kiume maisha yangu yanatoboa mawingu kwenye anga za ajabu Sana,

2. Wanaume hawana umbea, Wivu WA kijinga, mambo ya kiduanzi, mambo ya kijinga, nikikaa na wanaume tunaongea maisha na kutafuta chapaa ( pesa).

3. Asilimia 20 ya marafiki zangu NI wanawake ambao ni dada zangu, ndugu zangu na wale niliosoma nao, ambao naona hao kidooogo hawana mambo ya kipuuzi, wana-akili za kiume ( mindset ya kiume).

4. Ukiwa na MARAFIKI WA Kiume inakuwa rahisi kwao kukusaidia " Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi" ( FIgure of speach)..

Nikisema Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi sijamaanisha napelekwa Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi Kimwili ( Physically) hapana, namaanisha unakuwa trained kwenye mindset (fikra) ya kiume, ambayo inakuwa rahisi kwako kutoboa kimaisha kwenye levo za juu za kiutawala wa kijamii, Biashara, Uchumi na Maendeleo kwa ujumla.. Upper Crest Life Baby!

4. Wanaume hao hao wanakufundisha jinsi ya kuishi na mwanaume (Mume). Na inakuwa rahisi kwangu kuishi na Mume.
Matatizo Mengi yanayotokea Kwa wanawake sasa hivi NI Kwasababu hawakuwa na mwanaume wa kuwafundisha jinsi ya kuishi na mwanaume, zaidi walifundishwa na wanawake jinsi ya kuishi na wanaume[emoji91]

Kama hauamini angalia asilimia kubwa ya wasichana wenye marafiki wakiume ndio wenye ndoa nzuri, Tamu, zinazodumu kuliko wasichana wenye marafiki ambao ni wasichana wenzao Tu[emoji91]

5. Cha mwisho na cha msingi sio Kila mwanamke anajua ku-massage "EGO" ya mwanaume, NI wachache mno, Kwa rate ya Dunia nzima Kwa sasa labda itakuwa asilimia 30 kwasababu ya mafundisho ya Wana saikolojia Duniani ndio imeongezeka mpaka asilimia 30.
Jinsi ya ku-massage EGO ya Mwanaume labda nikupe 3 za chapchap ingawa zipo nyiiiingi lakini wanawake wengi wanazipuuzia wakiambiwa hawasikii wanaona wanaonewaaa:
1. Acha Kelele[emoji23][emoji23], punguza kulalamika na kumlalamikia mwanaume, fanya KAZI kama Mungu amekupa viungo vyote salama.
2. Msifie hata kama anaboronga kwenye maisha[emoji125]
3. Punguza kuomba hela [emoji23]. Jamani wanawake punguzeni kuomba wanaume hela, tafuteni zenu, akikupa NI Sawa asipokupa iwe Sawa pia
4. Mpende hata kama amechepuka, wewe mpende mpaka mwisho na kurudia niliomwambia kwenye 1-3 hapo mwanaume ushampa baraaafu ya maisha

Kwa maneno haya niliosoma wanawake watanichukia Tu kama unavyosema mdau, kwasababu watu wanaofanana huruka pamoja, kama Mimi sifanani na hao wanawake, nafanana na wanaume unataka niruke na Nani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Unataka nipendwe na Nani?!

Mdau: Asante, nimekuelewa sasa!

Unajua me sikujua kama wanawake huku hawanipendi [emoji849][emoji849] kweli sikujua lakini mbona Wana comment pia SA Nani ananichukia!?

Me naona Sawa Tu, wakoment wasikoment I don't care!

Ila usikute mdau nae alikuwa anataka kunivuruga Tu?! I don't know ngoja tuone huenda kuna kitu alitaka kuniambia

Napatikana Instagram, YouTube ,Twitter na website ambayo naandika HADITHI za Mapenzi, Maisha na Mahusiano
NI Bibi WA Miaka 63, Nina ndoa ya Miaka 35 ya kikristo, watukuu 3, wajukuu 9, mama wa watoto 5, [emoji23][emoji23], mtaani wanajiita Bibi Bomba [emoji23][emoji23]
Nawapenda wote [emoji173]
Naishukuru Jamii Forum kwakunipa nafasi ya Kuongea na watu wao [emoji23][emoji23]
Nawashukuru wanaume wenye Uume wanaonipenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Lile group lenu la whatsupp bado lipo? Maana mle naskia kuna kamati ya roho mbaya[emoji23],,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake siku zote humchukia mwanamke mwenzao mwenye Wowowo

Na wanaume siku zote humpenda mwanamke mwenye wowowo
 
Usipende sana kujigamba kwamba upo tofauti na wanawake wengine. Kwani kuwa mwanamke ni weakness? Unadai kwamba wanawake wana majungu lakini ulichoandika hapa ni majungu matupu. Unadai kwamba umefanikiwa sana kwasababu unajitenga na wanawake lakini sidhani kama ni kweli mafanikio yako ni makubwa sana kulinganisha na watu wenye marafiki wakike. Mafanikio hayaji kwasababu ya the gender you hangout with. Una kitu kinaitwa "I'm not like other women" syndrome, and I advise you to be proud of being a woman usifikiri uanaume ndo bora.
Kitu kingine ulichonacho ni "pick me" syndrome kwamba wewe upo radhi kulamba miguu ya wanaume ili uonekane bora kuliko wanawake wengine. Hii ni indication ya shida ya kisaikolojia pamoja na kutojiamini.
Lastly sidhani kama wanawake wanakuchukia nahisi hii ni namna ya wewe kujitengenezea kiclout na vitraffic kwenye channel yako ya youtuwanamatatizo

Nahisi kama ana akili pure, .achue kitu hapa next time kitamsaidia

Kumbe kuna wanaume ni mafans wa mtu ka huyu?!
Kama wapo wanamatatizo
 
Usipende sana kujigamba kwamba upo tofauti na wanawake wengine. Kwani kuwa mwanamke ni weakness? Unadai kwamba wanawake wana majungu lakini ulichoandika hapa ni majungu matupu. Unadai kwamba umefanikiwa sana kwasababu unajitenga na wanawake lakini sidhani kama ni kweli mafanikio yako ni makubwa sana kulinganisha na watu wenye marafiki wakike. Mafanikio hayaji kwasababu ya the gender you hangout with. Una kitu kinaitwa "I'm not like other women" syndrome, and I advise you to be proud of being a woman usifikiri uanaume ndo bora.
Kitu kingine ulichonacho ni "pick me" syndrome kwamba wewe upo radhi kulamba miguu ya wanaume ili uonekane bora kuliko wanawake wengine. Hii ni indication ya shida ya kisaikolojia pamoja na kutojiamini.
Lastly sidhani kama wanawake wanakuchukia nahisi hii ni namna ya wewe kujitengenezea kiclout na vitraffic kwenye channel yako ya youtube.

Money p...hope hii comment imekubadilisha
 
Mdau: Money Penny kwanini unapendwa zaidi na wanaume kuliko wanawake huku Jamii Forums?!
Wanao comment kwenye nyuzi zako wengi NI wanaume!
Wanaokusapoti JF wengi ni wanaume?!

Money Penny: sishangai, sio Jamii Forums Tu hata kwenye Jamii + Kazini + Kanisani + Shuleni + Vyuoni + nyumba za starehe n.k kwasababu zifuatazo:

1. Asilimia 80 ya marafiki zangu, wengi NI watoto wa kiume, wanaume, wenye uume 🏃🏃🏃
Na tangu NIMEKUWA na MARAFIKI WA kiume maisha yangu yanatoboa mawingu kwenye anga za ajabu Sana,

2. Wanaume hawana umbea, Wivu WA kijinga, mambo ya kiduanzi, mambo ya kijinga, nikikaa na wanaume tunaongea maisha na kutafuta chapaa ( pesa).

3. Asilimia 20 ya marafiki zangu NI wanawake ambao ni dada zangu, ndugu zangu na wale niliosoma nao, ambao naona hao kidooogo hawana mambo ya kipuuzi, wana-akili za kiume ( mindset ya kiume).

4. Ukiwa na MARAFIKI WA Kiume inakuwa rahisi kwao kukusaidia " Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi" ( FIgure of speach)..

Nikisema Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi sijamaanisha napelekwa Kumshika mkono Mheshimiwa Raisi Kimwili ( Physically) hapana, namaanisha unakuwa trained kwenye mindset (fikra) ya kiume, ambayo inakuwa rahisi kwako kutoboa kimaisha kwenye levo za juu za kiutawala wa kijamii, Biashara, Uchumi na Maendeleo kwa ujumla.. Upper Crest Life Baby!

4. Wanaume hao hao wanakufundisha jinsi ya kuishi na mwanaume (Mume). Na inakuwa rahisi kwangu kuishi na Mume.
Matatizo Mengi yanayotokea Kwa wanawake sasa hivi NI Kwasababu hawakuwa na mwanaume wa kuwafundisha jinsi ya kuishi na mwanaume, zaidi walifundishwa na wanawake jinsi ya kuishi na wanaume🔥

Kama hauamini angalia asilimia kubwa ya wasichana wenye marafiki wakiume ndio wenye ndoa nzuri, Tamu, zinazodumu kuliko wasichana wenye marafiki ambao ni wasichana wenzao Tu🔥

5. Cha mwisho na cha msingi sio Kila mwanamke anajua ku-massage "EGO" ya mwanaume, NI wachache mno, Kwa rate ya Dunia nzima Kwa sasa labda itakuwa asilimia 30 kwasababu ya mafundisho ya Wana saikolojia Duniani ndio imeongezeka mpaka asilimia 30.
Jinsi ya ku-massage EGO ya Mwanaume labda nikupe 3 za chapchap ingawa zipo nyiiiingi lakini wanawake wengi wanazipuuzia wakiambiwa hawasikii wanaona wanaonewaaa:
1. Acha Kelele😂😂, punguza kulalamika na kumlalamikia mwanaume, fanya KAZI kama Mungu amekupa viungo vyote salama.
2. Msifie hata kama anaboronga kwenye maisha🏃
3. Punguza kuomba hela 😂. Jamani wanawake punguzeni kuomba wanaume hela, tafuteni zenu, akikupa NI Sawa asipokupa iwe Sawa pia
4. Mpende hata kama amechepuka, wewe mpende mpaka mwisho na kurudia niliomwambia kwenye 1-3 hapo mwanaume ushampa baraaafu ya maisha

Kwa maneno haya niliosoma wanawake watanichukia Tu kama unavyosema mdau, kwasababu watu wanaofanana huruka pamoja, kama Mimi sifanani na hao wanawake, nafanana na wanaume unataka niruke na Nani?? 😂😂😂🏃🏃🏃🏃 Unataka nipendwe na Nani?!

Mdau: Asante, nimekuelewa sasa!

Unajua me sikujua kama wanawake huku hawanipendi 🙄🙄 kweli sikujua lakini mbona Wana comment pia SA Nani ananichukia!?

Me naona Sawa Tu, wakoment wasikoment I don't care!

Ila usikute mdau nae alikuwa anataka kunivuruga Tu?! I don't know ngoja tuone huenda kuna kitu alitaka kuniambia

Napatikana Instagram, YouTube ,Twitter na website ambayo naandika HADITHI za Mapenzi, Maisha na Mahusiano
NI Bibi WA Miaka 63, Nina ndoa ya Miaka 35 ya kikristo, watukuu 3, wajukuu 9, mama wa watoto 5, 😂😂, mtaani wanajiita Bibi Bomba 😂😂
Nawapenda wote ❤
Naishukuru Jamii Forum kwakunipa nafasi ya Kuongea na watu wao 😂😂
Nawashukuru wanaume wenye Uume wanaonipenda😂😂😂😂🏃🏃🏃
Muulize salama jabbbbbbbbbbbbbb
 
Usipende sana kujigamba kwamba upo tofauti na wanawake wengine. Kwani kuwa mwanamke ni weakness? Unadai kwamba wanawake wana majungu lakini ulichoandika hapa ni majungu matupu. Unadai kwamba umefanikiwa sana kwasababu unajitenga na wanawake lakini sidhani kama ni kweli mafanikio yako ni makubwa sana kulinganisha na watu wenye marafiki wakike. Mafanikio hayaji kwasababu ya the gender you hangout with. Una kitu kinaitwa "I'm not like other women" syndrome, and I advise you to be proud of being a woman usifikiri uanaume ndo bora.
Kitu kingine ulichonacho ni "pick me" syndrome kwamba wewe upo radhi kulamba miguu ya wanaume ili uonekane bora kuliko wanawake wengine. Hii ni indication ya shida ya kisaikolojia pamoja na kutojiamini.
Lastly sidhani kama wanawake wanakuchukia nahisi hii ni namna ya wewe kujitengenezea kiclout na vitraffic kwenye channel yako ya youtube.
Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru
We kibali Tu umeshashindwa 😂

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤️💪
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za wanawake zimezaa matunda😂😂
 
Ndo Uje uniaminishe huyu ni demu na mm nikuelewe?

Sent using Gun Trigger
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤️💪
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za wanawake zimezaa matunda😂😂
 
Bibi kalale
Tushachoka kukuchora
Unasemeshwa jaje unajibu utopolo ili uonekane tu na ww unapoint zakibabe[emoji38]
Bado uko na Mimi?; 😂😂😂

Yani anti as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kushukuru

We kibali Tu umeshashindwa 😂
Alafu next time unataka kugombana nami please wear your best garment, coz mine smells like money today and not hatred and shame like yours😂😂😂

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane kesho Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤️💪
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za wanawake zimezaa matunda😂😂
 
Money p...hope hii comment imekubadilisha
Kwenda wapi?!
Wewe na yeye wote hamjui Uzi unataka nini
Hakuna aliejigamba tatizo mnasoma Juu Juu mnakuja Ku comment watu wanawashangaa😂😂😂

Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kushukuru

MDAU popote ulipo najua unafuatilia Kwa karibu,tuonane leo Mlimani City nikupe incentive yako
Sio Kwa trafficking ya leo boss
Washafika viewers laki 8 kwenye website mpaka sasa🔥❤️💪
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za wanawake zimezaa matunda😂😂
 
Ignore them if they're reluctant to eulogize! But the fact remain the same!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani NI sheedah
Me nachoshukuru NI kwamba nazidi kumimona viewed kwenye website yangu walonitangazia😂😂😂
Acha wakoment hapa weee watu wote JF wakisoma wanapanda kwenye website ma naingiza hela

Ndio akili ya kiume hio, sio kupiga nuksi JF alafu huna hata 100
 
Back
Top Bottom