Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #501
Aje kule amwone mchumba mfereji anavyoombwa hela ya kusuka🏃🏃🏃🏃🏃😂😂😂 ni sheedah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje kule amwone mchumba mfereji anavyoombwa hela ya kusuka🏃🏃🏃🏃🏃😂😂😂 ni sheedah
Sie tupo [emoji23][emoji23][emoji23] tunaangalia mtanange hapa, ila huu moto hakuna wa kuuzima labda uamue mwenyewe,, kila nikigeuka nione wa kusawazisha sioni kabisaa,, hata naniliu naye amekuwa kimya hapa,, dahWoyoooooooo [emoji91] hapa KAZI Tu [emoji123]
Mpaka sasa hivi NI kumi bila
Nawashukuru marefa Kwa mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji86] mjanja huyu kaamua kuchora mstari mapemaAje kule amwone mchumba mfereji anavyoombwa hela ya kusuka[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23] ni sheedah
😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana
Mama Jusi wameshafika Kwa farao, wanambiwa wamekosea njia mkimpata mtoto Yesu mje MNILETEE taarifaSie tupo [emoji23][emoji23][emoji23] tunaangalia mtanange hapa, ila huu moto hakuna wa kuuzima labda uamue mwenyewe,, kila nikigeuka nione wa kusawazisha sioni kabisaa,, hata naniliu naye amekuwa kimya hapa,, dah
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 🏃🏃🏃🏃🏃
Hatareee 💪
Nyie wenye uume mmeleta shida Kwa akina mama Jusi😂😂😂
Be blessed madamUnajipa umaarufu ambao wala hata hauna.
Na huyo mdau kaja kukujaza tuu upepo huko PM.
Mada zako zimekaa staili Fulani ya kuwavutia wanaume kama sio kuwanyegesha kwahiyo lazima wa comment na kukupenda.
Sasa wanawake ulitaka tucomment nini na wakati targeted readers wa most of your threads ni wanaume?
Tupumzishe tupo bize na Corona.
Aminaaa🙏Tubarikiwee kwa kweli
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuruBe blessed madam
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Sie tupo [emoji23][emoji23][emoji23] tunaangalia mtanange hapa, ila huu moto hakuna wa kuuzima labda uamue mwenyewe,, kila nikigeuka nione wa kusawazisha sioni kabisaa,, hata naniliu naye amekuwa kimya hapa,, dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Kwa kufurahi na kuongeza maishaHahahaha!!
Mazingira niliyoishi na ninayoishi sijawahi kuona kurushiana maneno wanawake kwa wanawake! Yaani nimecheka sana..
Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru🙏Acha basi kumjaza upepo
Hivi wewe una kichaa? Mimi siwezi kufika huko na haiwezekani.Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru[emoji120]
MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia[emoji23][emoji23]
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss[emoji91]
Washafika viewers Milion 1 laki 1  kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda[emoji91][emoji3590][emoji120]
Viewers million 1 watoke wapi?Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru[emoji120]
MDAU popote ulipo big up Sana
Kama ulichosema kweli kimetimia[emoji23][emoji23]
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss[emoji91]
Washafika viewers Milion 1 laki 1  kwenye website
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda[emoji91][emoji3590][emoji120]
Walioharibika akili wamejaa tele, sishangai.Yani as long as mimi na Mdau tumekupeleka tulikokuwa tunataka na umefika na kutuingizia hela, Sisi hatuna la ziada zaidi ya kukushukuru
MDAU popote ulipo big up Sana
Naona ulichosema kweli kimetimia[emoji120]
Ubarikiwe Kwanza wewe uliethubutu kabla ya wanaume wote wenye Uume kujua Uzi ulikuwa unataka nini [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Sio Kwa trafficking ya Jana na leo boss
Washafika viewers Milion 1 laki 1 [emoji91] kwenye website[emoji91][emoji173][emoji123]
Duh kama uchawi vile kumbe NI hatred za watu zimezaa matunda[emoji23][emoji23]