Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.
Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736]