Mongela kwa Rais Samia: Figisu za bandari ni agenda za wanaume kukuangusha

Mongela kwa Rais Samia: Figisu za bandari ni agenda za wanaume kukuangusha

Nadhani Mama Mongela, kwa experience yake ktk Uongozi, Serikali, Chama na Siasa za Kimataifa, sio wa kubeza hata kidogo. Ameona mengi, ameshuhudia mengi, anafahmau hata yale yasiyostahili kusemwa hadharani,just for mustakabari wa heshima ya Taifa.

Hiyo kauli yake ni pana na inaongea kinachoendelea kwa sasa ndani ya viunga vya uongozi. Ukiangalia kwa jicho la tatu, unaweza kushaurika kuwa, anachoongea Mama Mongela, sio sual la Genda (ME na KE), bali katumia tu mgongo huo, kuwakilisha utamaduni uliopo ndani ya Siasa zetu. Ujumbe wake kwa Mheshimwa Rais Mama Samia, tena akiwa uso umefura hasira ni kwamba "Achana na Hao Wanaume Waliokuzunguka"

NI kauli nzito, ambayo Mheshimwa Rais, anahitaji kuifanyika kazi haraka.
Je Dr Tulia Ackson atamwelewa?
 
Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.

Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736]

She's not my mother
 
Wanaume tena😂😂😂😂.Tulianza Bara-Znz, ikaja Uislam-Ukristo sasa hivi umekuwa wanaume vs wanawake
Kwa kuwa tumeondoka kwenye ukweli na uhalisia wa vifungu vya mkataba tutaendelea kubaguana hadi kiwake!!😂😂
 
Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736][emoji419][emoji375]
ila Samiah nae mweh , tangu awali kama yupo timamu ilibidi akosoe na sio kukaa kimya tu
 
Huyo Rais wao kamwe aje kibahati Kisha atake kuendelea kwenye hio haipo Magufuli aliingia kibahati na huyo Bibi nae hapana haitatokea huyo ni wa mpito tu amalize aondoke. Ajiandae tu kuondoka
Usikute hata chai haujanywa hapo
 
Back
Top Bottom