Mongela kwa Rais Samia: Figisu za bandari ni agenda za wanaume kukuangusha

Wanaume tena😂😂😂😂.Tulianza Bara-Znz, ikaja Uislam-Ukristo sasa hivi umekuwa wanaume vs wanawake
Hapa nawaza kuanzisha u alikiba na udiamond kwenye ishu ya bandar.wanaopinga ni mashabiki wa alikiba maana diamond hujiita sheikh Mansour mkuu wa dubai
 
Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.

Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736]

View attachment 2725664
Translation please 🙏🏿 kwa alielewa huyu mama anazungumza nini??
 
M-Beiging original anajaribu kubadili upepo.

CCM nyie think tanks wenu ni akina nani haswa?
 
Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.

Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736]

Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736][emoji419][emoji375]
 
Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.

Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736]

Halafu Nate kaishia kumsifia kinafiki [emoji23]
 
Mama Mongella kaongea kwa akili nyingi. Kwa uzoefu wake kuna namna kapeleka ujumbe.
 
Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.

Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736]

Yuko sahihi maana hata spika wa bunge ni mwanaume yule...
 
Mama Mongella kaongea kwa akili nyingi. Kwa uzoefu wake kuna namna kapeleka ujumbe.
Hata askofu Shoo lifikisha ujumbe kwa akili kubwa sana. Watu wengi hawakumwelewa na hawakutaka kujishughulisha wamwelewe
 
Huyo Rais wao kamwe aje kibahati Kisha atake kuendelea kwenye hio haipo Magufuli aliingia kibahati na huyo Bibi nae hapana haitatokea huyo ni wa mpito tu amalize aondoke. Ajiandae tu kuondoka
JPM aliingia kibahati?? Katika wale walioenda kuchukua fomu nan alikuwa na sifa za JPM??
Hakuna anaepitishwa kwa bahat kwenye nafas nyet hiv
 
Kwa hiyo Annah Tibaijuka ni mwanaume?
Hujamuelewa Mama Mongella. Anasema wanaume ndio vinara wa kushabikia huo Mkataba na DpWorld ili huyo Samia atoke madarakani!! Wanawake kama Tibaijuka hawashabikii kwasababu wamegundua kuwa huo ni mtego Kwa Samia ili apate ajali ya kisiasa!! Mongella is advising her to scrap the contract with DpWorld kitu ambacho hivi sasa ni KAA la Moto Kwa Samia kutokana na fedha nyingi walizopokea Samia na genge lake kutoka kwa Waarabu!
 
Back
Top Bottom