NdiyoKwa hiyo Annah Tibaijuka ni mwanaume?
Saa 99 ndio anapenda hayoAnawaza kikekike. Mawazo ya kikekike yanaenda far back kwa eva na adam huko.
Ila hawa viumbe π€π€ that's why kuongoza sio asili yao!!Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.
Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736]
View attachment 2725664
Sasa hii hatariWanaume tenaππππ.Tulianza Bara-Znz, ikaja Uislam-Ukristo sasa hivi umekuwa wanaume vs wanawake
Ma spin-doctor hawajui wafanye nini kuzima keleleSasa hii hatari
Balozi Getrude Mongela anataka kutuambia, hao wanaume ni akina nani?Hii imeenda. Mpaka sasa viongozi wanaume ndiyo wanaupigia chapuo sana huu mkataba upitishwe, lakini hatujaona viongozi wanawake wakiupigia chapuo huu mkataba mbovu kuwahi kutokea toka nchi ipate uhuru.
Mama Getrude Mongela ameongea ukweli mchungu, kwamba hizo figisu za bandari ni matatizo ya wanaume wala siyo chama, wenye agenda za siri za kumuharibia mama ili apoteze hiyo nafasi huko mbeleni[emoji736]
View attachment 2725664
Hivi ni nini huwa kinasababisha hii jinsia kutokufikiria ya mbele?Normally,hatukupaswa kufika kote huku angekuwa kiongozi mkuu ni mwanaume huu mjadala tungekuwa tumeshasahau tunafanya mambo mengine.
Alichokisema huyu mwanamke mwenzake ndicho Samia alicho nacho kichwani mwake kwamba wanaume wanaidharau jinsia yake wanapomuona kama vile hawezi kufanya kitu kikaonekana ukichukulia tupo kwenye era ya mwanamke kujitutumua ili afanane uwezo na mwanaume unfortunately hiyo jinsia huwa haiangalii zaidi ya metre 5 mbele yaani huwa hawawezi kuwaza zaidi ya leo so mpaka aje kujua haikupaswa kuwa hivi kutakuwa kumeshakucha tukiwa na case nyengine ya kujibu.