Mongela kwa Rais Samia: Figisu za bandari ni agenda za wanaume kukuangusha

Vita vya jinsia now
 
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu. Wanakwepa hoja kwa kutumia cheap stunts haisaidii.....
 
Ni kweli kabisa mama wa Beijing
 
No, may be my twin sister ๐Ÿ˜…

Although some of the things triggers the feminist self in me! Iโ€™m always trying to be logical.
Don't fall for it. Feminism is a lie from the darkest corner of the pit of hades.

It has done much damage to women for the past 30 years than what the Patriarchy has done for the past 2000 years. It is an ideology which tells women that they're inherently inferior to men, and the possible solution to remedy this injustice is to emasculate men, reform all laws and underlying social institutions.

Most feminists tend to conflate biological difference between men and women as weakness and inferiority. And truly, men and women are quite different, but that's not a one-way inference that women are inferior to men. The philosophy of Radical Feminist is just preposterously astounding.

 
Ni uchambuzi wa kauli ya mama maarufu sana hapa Tanzania, Getrude Mongela. Kwa wasiolewa, huyu ndiye mke wa aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la JMT, mstaafu Pius Msekwa..

Naileta hapa tujadili kwa hisani ya uchambuzi uliofanywa na SK Media online TV..

Hata mimi nasema kwa asili, kamwe mwanamke kwa utashi wake hawawezi kujiingiza kwenye skendo ya aibu kama hii ya mkataba wa bandari ili kuuza sovereignty ya nchi kwa taifa jingine kwa tamaa ya fedha na mali tu...
Your browser is not able to display this video.


Usidanganyike. Ukiona mwanamke kaingia ktk shida, nyuma ya tatizo hilo tambua moja kwa moja kuwa, lipo lijemba au mijemba (mianaume)..

Tujadiliane...
 
Kwa hiyo Annah Tibaijuka ni mwanaume?
Yaani Au Issa Shivji ni mkristo?

Yaani watu wakiongea ukweli kuwa huu mkataba ni kichomi, wanatafutiwa angle fulani wanakandiwa na kushambuliwa in person badala ya kudadavua facts na hoja
 
Thank you.

 
Duu! Hili sakata la bandari mbona linaendelea kuwa gumu. Mama Mongela na Mama Tibajuka wateuliwe kuwa washauri wakuu wa Mama. Wana vision nzuri kwa wakinamama kuwa viongozi wa kitaifa na kimataifa.
 
Atavurugwa mara ngapi?
 
HONGERA MAMA KWA KULIONA HILO NA KUMWAMBIA
 
Akina Nape, Makamba, Mwiglu et al.
 
Huko ccm kuna majangili ya Taifa. Yatamsumbua sana.
 
Dah..!!! Kwahiyo, Ananilea Nkya ni mwanaume? Nimemtukana kimoyomoyo..!!!
1. Tulianza na dini ya Samia (Uislamu)
2. Tukaja anakotokea Samia (Zanzibar)
3. Tumefika kwenye jinsia ya Samia (Mwanamke)

Tunakoelekea,
1. Macho ya Samia
2. Rangi ya Samia
3. Mume wa Samia

BTW, HUVI HUYU SI NDO ALIHUDHURIA MKUTANO WA BEIJING WA KUDAI HAKI SAWA KATI YA WANAWAKE NA WANAUME? Kama ni huyu aliyehudhuria basi ana akili za kimifumo ya kijinsia. Hana tofauti na yule aliyesema wanawake walioolewa walipwe kwenye ndoa zao..!!
 
Semeni wenyewe tukisema sisi ni mfumo dume

Ila kwenye swala la Bandari tuiteni majina yote tutafutieni kashfa yoyote ila hakuna ambaye anakubali Bandari iuzwe kihuni.
Wale mashekhe Ubwabwa waje wamujibu Dr Mongela.
 
Nadhani Mama Mongela, kwa experience yake ktk Uongozi, Serikali, Chama na Siasa za Kimataifa, sio wa kubeza hata kidogo. Ameona mengi, ameshuhudia mengi, anafahmau hata yale yasiyostahili kusemwa hadharani,just for mustakabari wa heshima ya Taifa.

Hiyo kauli yake ni pana na inaongea kinachoendelea kwa sasa ndani ya viunga vya uongozi. Ukiangalia kwa jicho la tatu, unaweza kushaurika kuwa, anachoongea Mama Mongela, sio sual la Genda (ME na KE), bali katumia tu mgongo huo, kuwakilisha utamaduni uliopo ndani ya Siasa zetu. Ujumbe wake kwa Mheshimwa Rais Mama Samia, tena akiwa uso umefura hasira ni kwamba "Achana na Hao Wanaume Waliokuzunguka"

NI kauli nzito, ambayo Mheshimwa Rais, anahitaji kuifanyika kazi haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ