na mimi nisameheMambo!
Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.
Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia
Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
R. I. PMambo!

Ntakumis sana Heaven on Earth
Ulikuwa likizo ya mwezi? mbona ulikuwa kazini siku boss wako anafumaniwa na hazijapita hata wiki mbili mpenzi?
Takumiss[emoji25] [emoji25] [emoji25]Mambo!
Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.
Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia
Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
Umenitenga sana kipenzi.Haaaaaaa Sumve 2015 jamani
Tatzo lako umeanza kutumia smartphone ulivyokuja kwa mjomba na ulivyoona Kuna jf na ulivyojiunga ukadhan ww pekee ndio unajua kupost..Ongea kwa sauti kama mwanaume wewe mbona una nong'ona kama ....
Aisee!Ndugu unajiamini nini?Ushauri hiyo avatar itakuingiza matatani unaweza kujikuta unapata ban mara kwa mara cheki kama unaweza kuibadilisha.bora urudi ofisin nilikumis sana
All you have to accomplish is to get doggy and wait for the hot volcano_like cum from ya so called man.(I slap ya ass[emoji112])Be the first to rest in peace, I m still having some vocations to accamplish