Moniccca anawaaga jamani

Moniccca anawaaga jamani

Mambo!

Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.

Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia

Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
na mimi nisamehe
 
Monicca juzi niliota eti we ni mwanaume na hio ID fake... Staki iwe hivo
Asante kwa muda wako
 
Mambo!

Nawaandikia kuwaaga wana MMU wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwenzi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni kutokana na nature ya kazi yangu.

Ntawamisi sana but nikipata chance ntakuwa nachukulia

Pole na samahani sana kwa wale niliowakwaza hasa wale niliowajibu vbya, I'm real sorry.
Asante kwa marafiki wapya pia.
Kama kuna lolote tushirikishane pia.
Ahsanteni wooooote
R. I. P
 
Takumiss[emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Thanks God! ila series yako ndo imeishia hapa or itaendelea kesho?
 
Ndo unarudi kwenye ofisi yako ya utendaji wa kijiji huko rombon? Kila la hkeri kapambane vzr na madiwn wa ukawa
 
Ongea kwa sauti kama mwanaume wewe mbona una nong'ona kama ....
Tatzo lako umeanza kutumia smartphone ulivyokuja kwa mjomba na ulivyoona Kuna jf na ulivyojiunga ukadhan ww pekee ndio unajua kupost..
Sio kosa lako,, walikuwepo akina @albosthnus, @mpigamsuli, wote hao walikuwa na vituko zaid yako lakn mpaka leo walikopotelea hawajulikani hvyo hata ww tunajua tatzo lako, tunajua ukirudi kijijin kwenu huku ukitumia simu ya aitel ya tochi na kwenda kuchaji kwenye solar ya mwenyekiti wa mtaa hapo ndio mwisho wa kuiona Id yako humu. Wakat utasema tu tusubir kama mm mwongo
 
nilitegemea ukiwa Animooni, usingekuwa online, mshikaji alikuwa anakugegeda uku upo JF, Sasa unaenda kufanya kazi gani nzito kuliko hiyo ukimbie umu. we mzushi vipi lakini, mgegedaji mpya ajambo?
 
aya kaunguzwe uko na sha**wa za moto[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Dah idadi ya waagaji jf inazidi kuongezeka.. Enewei
 
Be the first to rest in peace, I m still having some vocations to accamplish
All you have to accomplish is to get doggy and wait for the hot volcano_like cum from ya so called man.(I slap ya ass[emoji112])
 
Back
Top Bottom