king's lawyer
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 408
- 358
"Ufukwe wa kina kirefu"ha ha [emoji38]Ndiyo nini hicho [emoji1483][emoji1483][emoji1483].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ufukwe wa kina kirefu"ha ha [emoji38]Ndiyo nini hicho [emoji1483][emoji1483][emoji1483].
Nilidhani Dkt. Mwigulu Nchemba atakuwa amewaalika WEF au WTO team kuja kutathmini uwezo wa nchi kufanya exports... kumbe ameleta watu wa benki kutathmini dhamana ya mikopo endapo tutashindwa kulipa..Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje?
Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni yule anaeweza kuulipa mkopo tarajiwa, lakini pia anacho cha kuweka ‘Collateral’ endapo atashindwa kurudisha mkopo, sasa kwa hapa Tz kuna vitu kadhaa nahisi vinatolewa macho
1.) Gesi - Japo tunaambiwa kwamba JK alishaiuza yote, lakini nadhani bado kuna nyingine iliyogunduliwa huko deepshore inaweza kufanyiwa tathmini na Moodys kuona jinsi Inavyoweza kuwekwa dhamana na kupigwa mnada endapo tutashindwa kulipa deni, hivyo wanaweza kusema tunakopesheka bado.
2.) Bwawa la Nyerere - Hii pia ni asset kubwa sana inayoweza kutumika kama ‘collateral’, Moodys wanaweza kufanya tathmini juu ya thamani ya zile Megawati 2100 zitakazozalishwa na mapato yanayoweza kuingizwa, hapa wanaweza kutupa maksi kwamba bado tunakopesheka, maana tukishindwa kulipa deni, basi wanajimilikisha bwawa na kutuuzia umeme kwa bei mbaya
3.) Watu milioni 60 - Watu ni asset, hata kama ajira, bado wanaweza kutumika kama dhamana, ukiwa na watu wengi unakuwa na nafsi ya kuwakamua na kuwaminya kwenye kodi kwa kutumia mbinu mbali mbali, mfano Tozo za miamala, Tozo za mazao, VAT na kadhalika, hivyo tukishindwa kulipa deni, tunaweza kuoandishiwa tozo na kodi muda wowote ili kulipa deni
4.) SGR., mengine tuongezee
-----
Wataalamu kutoka Taasisi ya kimataifa ya Moody's inayojihusisha kuzifanyia tathimini Nchi mbalimbali dunia ili kujua uwezo wao wa kukopesheka katika masoko ya fedha ya Kimataifa, wamewasili Nchini kwa ajili ya kuifanya tathimini Nchi ya Tanzania.
Akizungumza wakati akiikaribisha Timu ya Wataalamu kutoka Taasisi hiyo Jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema tathimini hiyo ni fursa kwa Tanzania kuweza kuyafikia Masoko ya fedha ya Kimataifa yatakayoiwezesha Nchi kupata rasilimali fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Dkt. Mchemba amesema kuwa tathimini huru inayofanywa na Taasisi hiyo itaiwezesha Tanzania kuaminiwa na Taasisi za fedha za kimataifa hivyo kuchochea uwekezaji ambao utakuza uchumi wa Nchi pamoja na ajira kwa Vijana na kwamba ujio wa Wataalamu hao unajibu kiu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyeagiza Nchi ifanyiwe tathimini ili kubaini uwezo wake wa kuyafikia masoko ya fedha ya kimataifa katika kuharakisha maendeleo ya Watu.
Huwezi kutafsiri lugha kwa kutumia neno kwa neno, haileti maana yoyote. Nyie ndiyo wale wa "clock mosquito clock".Wewe bibi mbona mkorofi hivyo. Kwani hakuna Pwani yenye kilindi!!??
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Si ajabu unatembelea gari uliyoinunua kwa mkopo Mkuu ila ndo umeamua kuipiga serikali na Canadian 7ve maneuver [emoji3]Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi anajifunzia kunyoa. Utasikia mikopo ya masharti nafuu, tunakopesheka, kula kwa urefu wa kamba. Baadae tunalipishwa sisi raia
"clock mosquito clock".
Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje?
Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni yule anaeweza kuulipa mkopo tarajiwa, lakini pia anacho cha kuweka ‘Collateral’ endapo atashindwa kurudisha mkopo, sasa kwa hapa Tz kuna vitu kadhaa nahisi vinatolewa macho
1.) Gesi - Japo tunaambiwa kwamba JK alishaiuza yote, lakini nadhani bado kuna nyingine iliyogunduliwa huko deepshore inaweza kufanyiwa tathmini na Moodys kuona jinsi Inavyoweza kuwekwa dhamana na kupigwa mnada endapo tutashindwa kulipa deni, hivyo wanaweza kusema tunakopesheka bado.
2.) Bwawa la Nyerere - Hii pia ni asset kubwa sana inayoweza kutumika kama ‘collateral’, Moodys wanaweza kufanya tathmini juu ya thamani ya zile Megawati 2100 zitakazozalishwa na mapato yanayoweza kuingizwa, hapa wanaweza kutupa maksi kwamba bado tunakopesheka, maana tukishindwa kulipa deni, basi wanajimilikisha bwawa na kutuuzia umeme kwa bei mbaya
3.) Watu milioni 60 - Watu ni asset, hata kama ajira, bado wanaweza kutumika kama dhamana, ukiwa na watu wengi unakuwa na nafsi ya kuwakamua na kuwaminya kwenye kodi kwa kutumia mbinu mbali mbali, mfano Tozo za miamala, Tozo za mazao, VAT na kadhalika, hivyo tukishindwa kulipa deni, tunaweza kuoandishiwa tozo na kodi muda wowote ili kulipa deni
4.) SGR., mengine tuongezee
-----
Wataalamu kutoka Taasisi ya kimataifa ya Moody's inayojihusisha kuzifanyia tathimini Nchi mbalimbali dunia ili kujua uwezo wao wa kukopesheka katika masoko ya fedha ya Kimataifa, wamewasili Nchini kwa ajili ya kuifanya tathimini Nchi ya Tanzania.
Akizungumza wakati akiikaribisha Timu ya Wataalamu kutoka Taasisi hiyo Jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema tathimini hiyo ni fursa kwa Tanzania kuweza kuyafikia Masoko ya fedha ya Kimataifa yatakayoiwezesha Nchi kupata rasilimali fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Dkt. Mchemba amesema kuwa tathimini huru inayofanywa na Taasisi hiyo itaiwezesha Tanzania kuaminiwa na Taasisi za fedha za kimataifa hivyo kuchochea uwekezaji ambao utakuza uchumi wa Nchi pamoja na ajira kwa Vijana na kwamba ujio wa Wataalamu hao unajibu kiu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyeagiza Nchi ifanyiwe tathimini ili kubaini uwezo wake wa kuyafikia masoko ya fedha ya kimataifa katika kuharakisha maendeleo ya Watu.
Kuna siku tutakuja kuuzwa nyieTunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje?

Koko hujawahi niangusha,1) Wanakuja" wamealikwa au wanajijia tu wenyewe?
2) bichwa lako la habari ni swali, utumbo wako ws habari unajijibu mwenyewe.
Halafu unapojijibu huelewi hata unachojijibu.
Hiyo ni "spinning".
3) siyo "deep shore", ni ujinga kutaka kutimia lugha za watu usizozielewa, ni heri ungeandika kwankutumia Kiswahili tu. Hilo neno ulilotumia halileti maana yoyote. Ni ujinga tu.
Na ukienda usirudiNi wakat wa kuhamia burundi
Muda ndo huwa msema kweli. Yapo mengi yameshasemwa na yakajipitia tu kwa aibu sababu ilikuwa uzushi.Mleta mada jinsi anavyo "spin" mambo na jinsi nnavyomsoma post zake mbali mbali atakuwa ni "hater" tu wa awamu ya Mama Samia.
Pia nafahamu kuwa ni mmojawapo wa "ignorant Islamophobes" waliomo JF.
Hakuna awamu hii itakachokifanya kwake kikawa chema.
Huku mbowe na lema walimba tu asali na kuongea viloja majukwaniAiseeee !!!
Tukiyaona ya uzushi na uongo tunatakiwa tusiyanyamazie. Uongo na "spinning" za mleta mada zimelenga kujenga chuki zisizo na msingi.Muda ndo huwa msema kweli. Yapo mengi yameshasemwa na yakajipitia tu kwa aibu sababu ilikuwa uzushi.
Sawa, ila Sio kila uzushi wa kupigana nao.Tukiyaona ya uzushi na uongo tunatakiwa tusiyanyamazie. Uongo na "spinning" za mleta mada zimelenga kujenga chuki zisizo na msingi.
Binafsi sipendezwi na watu wanaomshambulia mwenye hoja badala ya hoja yenyewe!Mleta mada jinsi anavyo "spin" mambo na jinsi nnavyomsoma post zake mbali mbali atakuwa ni "hater" tu wa awamu ya Mama Samia.
Pia nafahamu kuwa ni mmojawapo wa "ignorant Islamophobes" waliomo JF.
Hakuna awamu hii itakachokifanya kwake kikawa chema.
Mleta mada, jinsi alivyoandika kwa "spinning" nadiriki kum-"lable" kunguni wa Sukuma gang.
Utauzwa hata wewe hapo kwani bei gani?Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje?