Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. @Mwigulu Nchemba amesema tathimini hiyo ni fursa kwa Tanzania kuweza kuyafikia Masoko ya fedha ya Kimataifa yatakayoiwezesha Nchi kupata rasilimali fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
TOKA MAKTABA mwaka 2018:
Tanzania yapinga ripoti 'hasi' ya taasisi ya Moody's. Ripoti hii ni ya mwanzo kabisa kuifanyia nchi kuhusu tathmini hali ya kukopesheka (credit rating) mekuja na alama B1 Hasi (negative)
Tanzania imeamua toka 2016 kuwekeza fedha nyingi za mikopo na hati fungani katika miradi mikubwa ya maendeleo ya vitu kama miundo mbinu ya reli SGR, bwawa la umeme hivyo nchi kuhaha kutafuta fedha za kugharamia miradi hiyo mikubwa kwa kugoga hodi milango ya taasisi mbalimbali ili kuufanikisha azma ya kuhakikisha kukamilisha miradi hiyo.
Alama ya B1 Hasi iliyopewa Tanzania ni bora zaidi ikilinganishwa na nchi zingine za Afrika ambazo zinasuasua kulipa madeni yake kwa wakati kama zilivyoahidi.
Alama nzuri zaidi ya B1 Hasi huwezesha nchi kuwa na credit rating nzuri hivyo kupewa mikopo kwa riba zilizo chini zaidi kutokana na hali yake ya ulipaji madeni kwa wakati na kuwaondelea hofu wakopeshaji kuhusu kulipwa kwa wakati.
Tanzania criticises Moody's for negative rating outlook
By Reuters Staff
DAR ES SALAAM, March 5 (Reuters) - Tanzania criticised Moody’s decision to impose a negative outlook on the country’s first international credit rating, saying the agency’s concerns about the business climate were misleading.
Moody’s on Friday assigned Tanzania a “B1” credit rating with a negative outlook, the first time the country has been given a rating by any of the big international agencies.
Moody’s said the negative outlook was justified by unpredictable policymaking, which could affect economic growth and the ability to attract foreign investment.
The government in the East African nation has tussled with mining and energy firms, as it sought to renegotiate their contracts, alarming foreign investors.
“Tanzania rejects the negative outlook on the credit rating. The government expected Moody’s to sit down with the government to discuss any queries they may have after their review,” Ben Mwaipaja, a Ministry of Finance and Planning spokesperson, said on Monday.
He said the government had taken several steps to improve the business environment, without offering details.
Tanzania has prioritised infrastructure investment as part of a five-year national development plan with a goal of achieving middle income status by 2025.
Moody’s said Tanzania’s debt could rise to 43 percent of GDP in 2020 from 40.2 percent last year. Nevertheless, the agency expects the debt burden to remain below that of regional peers.
“The average maturity of Tanzania’s debt is relatively long because of a large share of multilateral, concessional external borrowing, which helps partly offset a very low revenue base and supports debt affordability,” the agency said in a statement.
Analysts said a “B1” rating, even with a negative outlook, was decent, given worsening debt profiles across Africa.
“It’s a similar rating to Ethiopia, better than Rwanda, better than Kenya. So as a debut issuer, it’s a decent rating,” Charles Robertson, chief economist at London-based frontier and emerging markets investment bank Renaissance Capital, said.
“Given Tanzania’s low per capita GDP, its a good rating.”
In 2016, Tanzania said it wanted to issue a debut Eurobond to finance infrastructure projects, but it has delayed the process due to a lack of a credit rating.
Mwaipaja did not comment on the plan to issue a Eurobond.
Robertson said the Moody’s rating suggested a Eurobond might be issued this year and foreign investors who like diversification would be interested in Tanzania.
“Investors might give Tanzania lower borrowing costs than Kenya, based on this rating,” he said, referring to Kenya’s issue of dollar bonds last month. (Reporting by Fumbuka Ng’wanakilala and Omar Mohammed Editing by Duncan Miriri and Susan Fenton