Moodys wamekuja nchini kutathmini cha kuuza endapo tutashindwa kulipa mikopo?

Nilidhani Dkt. Mwigulu Nchemba atakuwa amewaalika WEF au WTO team kuja kutathmini uwezo wa nchi kufanya exports... kumbe ameleta watu wa benki kutathmini dhamana ya mikopo endapo tutashindwa kulipa..

Jamani mwaka 2024 na 2025 tusirudie kosa la kuipa kura CCM. Haya yanayofanyika ni kuipiga nchi mnada. Hawa hawajali hata kidogo.

Hali ya kipato ni duni. Wanaongeza mikopo ambapo sehemu kubwa ya mikopo hiyo inaenda matumboni mwao
 
Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi anajifunzia kunyoa. Utasikia mikopo ya masharti nafuu, tunakopesheka, kula kwa urefu wa kamba. Baadae tunalipishwa sisi raia
Si ajabu unatembelea gari uliyoinunua kwa mkopo Mkuu ila ndo umeamua kuipiga serikali na Canadian 7ve maneuver [emoji3]
 

1) Wanakuja" wamealikwa au wanajijia tu wenyewe?

2) bichwa lako la habari ni swali, utumbo wako wa habari unajijibu mwenyewe.

Halafu unapojijibu huelewi hata unachojijibu.

Hiyo ni "spinning".

3) siyo "deep shore", ni ujinga kutaka kutimia lugha za watu usizozielewa, ni heri ungeandika kwankutumia Kiswahili tu. Hilo neno ulilotumia halileti maana yoyote. Ni ujinga tu.
 
Kuna siku tutakuja kuuzwa nyie
 
Koko hujawahi niangusha,
Swali anuliza yeye na jibu analitoa yeye


Uko sahihi hii itakuwa ni plan ya kupima kina cha maji
 
Mleta mada jinsi anavyo "spin" mambo na jinsi nnavyomsoma post zake mbali mbali atakuwa ni "hater" tu wa awamu ya Mama Samia.

Pia nafahamu kuwa ni mmojawapo wa "ignorant Islamophobes" waliomo JF.

Hakuna awamu hii itakachokifanya kwake kikawa chema.

Mleta mada, jinsi alivyoandika kwa "spinning" nadiriki kum-"lable" kunguni wa Sukuma gang.
 
Mleta mada jinsi anavyo "spin" mambo na jinsi nnavyomsoma post zake mbali mbali atakuwa ni "hater" tu wa awamu ya Mama Samia.

Pia nafahamu kuwa ni mmojawapo wa "ignorant Islamophobes" waliomo JF.

Hakuna awamu hii itakachokifanya kwake kikawa chema.
Muda ndo huwa msema kweli. Yapo mengi yameshasemwa na yakajipitia tu kwa aibu sababu ilikuwa uzushi.
 
CAPE VERDE NDIO NCHI INAYODAIWA ZAIDI BARANI AFRIKA, TANZANIA HAIPO HATA KWENYE NCHI 30 ZINAZODAIWA SANA BARANI AFRIKA, BADO TUNAYO FURSA YA KUKOPA ZAIDI KATIKA KUBORESHA NCHI YETU NA KUIMALIZIA VIPORO VYA MIRADI.
Tukope pia kwa ajili ya kuboresha mifumo ya e-government collections, tupunguze kasi ya fedha zinazozunguka mikononi na malipo zaidi yawe katika mfumo wa e-card, ambayo kila mtanzania atapaswa kuwa nayo, hata mishahara iingizwe humo, ili atimaye purchases zote ziwe katika electronics, hapa kodi zote ndipo zitakapokusanywa 100%.
 
Muda ndo huwa msema kweli. Yapo mengi yameshasemwa na yakajipitia tu kwa aibu sababu ilikuwa uzushi.
Tukiyaona ya uzushi na uongo tunatakiwa tusiyanyamazie. Uongo na "spinning" za mleta mada zimelenga kujenga chuki zisizo na msingi.
 
Tukiyaona ya uzushi na uongo tunatakiwa tusiyanyamazie. Uongo na "spinning" za mleta mada zimelenga kujenga chuki zisizo na msingi.
Sawa, ila Sio kila uzushi wa kupigana nao.
 
Binafsi sipendezwi na watu wanaomshambulia mwenye hoja badala ya hoja yenyewe!
U- sukuma gang umetokea wapi kwenye hoja hii?
Kwanza sukuma gang ni kitu gani?
 
Utauzwa hata wewe hapo kwani bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…