Hoja imekuwa "spinned" kwanini? Mleta hoja kaulizwa mswali kuhusu hoja yake hajajibu, saidie kumjibia kama unayo majibu, baada ya hapo ndiyo kapewa ukweli wake.Binafsi sipendezwi na watu wanaomshambulia mwenye hoja badala ya hoja yenyewe!
U- sukuma gang umetokea wapi kwenye hoja hii?
Kwanza sukuma gang ni kitu gani?
Wala hatutaweza, lakini kila tunaouona inabidi tuweke sawa.Sawa, ila Sio kila uzushi wa kupigana nao.
Unayo hiyo thamani ya juuzika? Pengine hata ukitolewa bure haufai.Manyoko wacha tuuzwe tu
Alitaka kusema "Offshore" akachanganya na "Deep sea" halafu akaazima neno toka kwenye kila neno!Huwezi kutafsiri lugha kwa kutumia neno kwa neno, haileti maana yoyote. Nyie ndiyo wale wa "clock mosquito clock".
Trilliin kama 2 hivi tulipewa chanjo za Corona zilizo- expire, na hakuna aliechoma, imebidi ziteketezwe tu, ila trillion 2 ndio hizi tozo tunakamuliwa tulipe na riba juu, na mwaka huu Bajenticyeti karibu Trillion 13 tunalipa mikopo iliyoiva vizuri na riba juu. Mshaambiwa hamieni Burundi ila mnakaza shingo, jamaa hakuwa anatania, hamieni Burundi!Kiukweli sijaona hiyo mikopo ya awamu ya 6 imefanya nini , Ebu anaye jua aniambie.
Sasa si wamesema wenyewe wanatathmini kukopesheka kwetu? Sasa niambie wewe , mtu anaekopesheke yukoje na ambae hakopesheki yukoje?Wa Tanzania wasomi hasa wa Uchumi huwa mnasoma nini? Huwezi kuamini, siku moja miaka kama mitano iliyopota nilimuuliza waziri mmoja kuhusu Standard & Poor, Fitch na Mood, kwake ilikuwa misamiati na yule mwingine kwenye ofisi ya CAG alikuwa gizani hapo ndiyo niligundua Kwa mara nyingine nani wanatutawala very uninformed na ignorant people.
Rating ya Tanzania tangu 2008 imekuwa ikifanywa na Moody, wakati ule ilikuwa B, sijafuatilia miaka ya hivi karibuni.
wewe mwandishI usipotoshe, this is just a rating agency usilete porojo, nchi yako ikiwa rated unakuwa na nafasi ya kupata investors, financiNg etc etc
Wewe iliyekusaidia tuambie..Google translate haijakusaidia kitu.
Sasa unategemea mimi nijibizane na mtu mwenye mtindio wa ubongo kweli? Jikite kwenye mada and on point, sio kuzunguka na inconsistent blubbering za hapa na pale1) Wanakuja" wamealikwa au wanajijia tu wenyewe?
2) bichwa lako la habari ni swali, utumbo wako wa habari unajijibu mwenyewe.
Halafu unapojijibu huelewi hata unachojijibu.
Hiyo ni "spinning".
3) siyo "deep shore", ni ujinga kutaka kutimia lugha za watu usizozielewa, ni heri ungeandika kwankutumia Kiswahili tu. Hilo neno ulilotumia halileti maana yoyote. Ni ujinga tu.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. @Mwigulu Nchemba amesema tathimini hiyo ni fursa kwa Tanzania kuweza kuyafikia Masoko ya fedha ya Kimataifa yatakayoiwezesha Nchi kupata rasilimali fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
6 December 2016In 2016, Tanzania said it wanted to issue a debut Eurobond to finance infrastructure projects, but it has delayed the process
Yaani kujua makampuni ya nje yanavyofanya rating ili tukope ni usomi wa maana sana?Wa Tanzania wasomi hasa wa Uchumi huwa mnasoma nini? Huwezi kuamini, siku moja miaka kama mitano iliyopota nilimuuliza waziri mmoja kuhusu Standard & Poor, Fitch na Mood, kwake ilikuwa misamiati na yule mwingine kwenye ofisi ya CAG alikuwa gizani hapo ndiyo niligundua Kwa mara nyingine nani wanatutawala very uninformed na ignorant people.
Rating ya Tanzania tangu 2008 imekuwa ikifanywa na Moody, wakati ule ilikuwa B, sijafuatilia miaka ya hivi karibuni.
wewe mwandishI usipotoshe, this is just a rating agency usilete porojo, nchi yako ikiwa rated unakuwa na nafasi ya kupata investors, financiNg etc etc
Unakopesheka au hukopesheki rating lazima iwepo, kuna nchi kama DRC nazo zipo kwenye sovereign rating, na ni nchi host Ndiyo inamwita rating Agency kufanya rating na lazima utoe pesa siyo bureSasa si wamesema wenyewe wanatathmini kukopesheka kwetu? Sasa niambie wewe , mtu anaekopesheke yukoje na ambae hakopesheki yukoje?
Wewe ndiyo wale wajinga wajinga ambao Faiza Foxy anawatukana kila siku. DRC ni junky, lakini kuna wanaochukua risk kama wachina au Glencore faida inaoffset risk in short time, umeona kuna mjapani au Germany anainvest au Marekani ni wale tu ambao wanafanya hedging offshore Kwa high riskYaani kujua makampuni ya nje yanavyofanya rating ili tukope ni usomi wa maana sana?
Investors wanaangalia nini wainvest kama kipo, DRC huko wanagombania .
Sioni sababu Kwa nchi yetu kujitumbukiza kwenye rundo la mikopo. Maana rasilimali tunazo nyingi mnoo za kutosha kupata fedha za kuanzisha na kuendeshea miradi ya kimkakati. Ni basi tu nchi imekosa viongozi wenye maono. Maana hata hiyo mikopo yote iliyokopwa hatuoni miradi ikikamilishwa,hakuna miradi mipya ni Ile Ile tu! Na pia sidhani kama ni vyema kuanzisha miradi mipya kabla ya kukamilisha iliyokwisha kuanza au angalau iwe imefika 90% ndipo ianzishwe mingine.Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje?
Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni yule anaeweza kuulipa mkopo tarajiwa, lakini pia anacho cha kuweka ‘Collateral’ endapo atashindwa kurudisha mkopo, sasa kwa hapa Tz kuna vitu kadhaa nahisi vinatolewa macho
1.) Gesi - Japo tunaambiwa kwamba JK alishaiuza yote, lakini nadhani bado kuna nyingine iliyogunduliwa huko deepshore inaweza kufanyiwa tathmini na Moodys kuona jinsi Inavyoweza kuwekwa dhamana na kupigwa mnada endapo tutashindwa kulipa deni, hivyo wanaweza kusema tunakopesheka bado.
2.) Bwawa la Nyerere - Hii pia ni asset kubwa sana inayoweza kutumika kama ‘collateral’, Moodys wanaweza kufanya tathmini juu ya thamani ya zile Megawati 2100 zitakazozalishwa na mapato yanayoweza kuingizwa, hapa wanaweza kutupa maksi kwamba bado tunakopesheka, maana tukishindwa kulipa deni, basi wanajimilikisha bwawa na kutuuzia umeme kwa bei mbaya
3.) Watu milioni 60 - Watu ni asset, hata kama ajira, bado wanaweza kutumika kama dhamana, ukiwa na watu wengi unakuwa na nafsi ya kuwakamua na kuwaminya kwenye kodi kwa kutumia mbinu mbali mbali, mfano Tozo za miamala, Tozo za mazao, VAT na kadhalika, hivyo tukishindwa kulipa deni, tunaweza kuoandishiwa tozo na kodi muda wowote ili kulipa deni
4.) SGR., mengine tuongezee
-----
Wataalamu kutoka Taasisi ya kimataifa ya Moody's inayojihusisha kuzifanyia tathimini Nchi mbalimbali dunia ili kujua uwezo wao wa kukopesheka katika masoko ya fedha ya Kimataifa, wamewasili Nchini kwa ajili ya kuifanya tathimini Nchi ya Tanzania.
Akizungumza wakati akiikaribisha Timu ya Wataalamu kutoka Taasisi hiyo Jijini Dodoma, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema tathimini hiyo ni fursa kwa Tanzania kuweza kuyafikia Masoko ya fedha ya Kimataifa yatakayoiwezesha Nchi kupata rasilimali fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Dkt. Mchemba amesema kuwa tathimini huru inayofanywa na Taasisi hiyo itaiwezesha Tanzania kuaminiwa na Taasisi za fedha za kimataifa hivyo kuchochea uwekezaji ambao utakuza uchumi wa Nchi pamoja na ajira kwa Vijana na kwamba ujio wa Wataalamu hao unajibu kiu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyeagiza Nchi ifanyiwe tathimini ili kubaini uwezo wake wa kuyafikia masoko ya fedha ya kimataifa katika kuharakisha maendeleo ya Watu.
Wewe ndiyo wale wajinga wajinga ambao Faiza Foxy anawatukana kila siku. DRC ni junky, lakini kuna wanaochukua risk kama wachina au Glencore faida inaoffset risk in short time, umeona kuna mjapani au Germany anainvest au Marekani ni wale tu ambao wanafanya hedging offshore Kwa high risk
Ndugu rating iwe sovereign or credit ni kufanya nchi iwe iheshimike, iwe exposed. Wengi hawaijui Tanzania kama wewe unavyofikirI. Ukiwa na rating investors, financiers etc etc wanaielewa nchi yako, rating Ndiyo inafanya uwe exposed. Rating agency haina mamlaka ya kufanya wewe ukopesheke au hapana, msomaji ataamua mwenyewe baada ya kusoma report. Ndiyo maana rating agency lazima waseme ukweliSijaelewa kuhusu Dkt. Mwigulu kukopa Trilioni 5 ili kulipia Hati Fungani za serikali zilizoiva
Enyi Watu wa Finance niwaombe mje mnielimishe kidogo kulingana na kichwa cha thread hapo juu. Akunyang'aye kanzu mwachie na Joho!www.jamiiforums.com
Mikopo imefikia toxic levels, yaani unakopa trillion 5 ili kulipa mikopo iliyoiva.., huu ni taahira kama si wendawazimu, kilichobaki hapa ni kuja kuuzwa tu..., na bado wanataka kukopa zaidi
Miradi ni ile ile, haikamiliki wala kuonekana ikisigea mbele, ipo vile vile kama alivyoiacha hayati.., sasa hata sielewi hii mikopo wanafanyia nini, tusubiri kuuzwa tuSioni sababu Kwa nchi yetu kujitumbukiza kwenye rundo la mikopo. Maana rasilimali tunazo nyingi mnoo za kutosha kupata fedha za kuanzisha na kuendeshea miradi ya kimkakati. Ni basi tu nchi imekosa viongozi wenye maono. Maana hata hiyo mikopo yote iliyokopwa hatuoni miradi ikikamilishwa,hakuna miradi mipya ni Ile Ile tu! Na pia sidhani kama ni vyema kuanzisha miradi mipya kabla ya kukamilisha iliyokwisha kuanza au angalau iwe imefika 90% ndipo ianzishwe mingine.
Kwahiyo tukishajulikana halafu ndio tukope pesa ili kulipa madeni yaliyoiva..., hapo si utaahira huo? Hivi tunaongozwa na watu wa aina gani jamani?Ndugu rating iwe sovereign or credit ni kufanya nchi iwe iheshimike, iwe exposed. Wengi hawaijui Tanzania kama wewe unavyofikirI. Ukiwa na rating investors, financiers etc etc wanaielewa nchi yako, rating Ndiyo inafanya uwe exposed. Rating agency haina mamlaka ya kufanya wewe ukopesheke au hapana, msomaji ataamua mwenyewe baada ya kusoma report. Ndiyo maana rating agency lazima waseme ukweli
Hapa inapigwa akili kuporwa vyote vilivyowekezwa wakati wa magufuli kuanzia ndege, meli ziwa victoria gesi etc etc. Wameshaona mtazamo wa samia kukopa ovyo na kumlaghai bado madeni ni madogo akope zaidi. Hila na ujanja wa mabeberu tutajikuta kila kilichowekezwa na umma kiko kwenye mikono ya watu binafsi tena wageni.Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje?