Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Pumzika sasa.Watu wa Kilwa walikuwa wanafanya biashara Hadi Australia...kabla hata Muingereza hajaenda kule kuweka koloni...hatari sana..
View attachment 2594352
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumzika sasa.Watu wa Kilwa walikuwa wanafanya biashara Hadi Australia...kabla hata Muingereza hajaenda kule kuweka koloni...hatari sana..
View attachment 2594352
Sasa tulitawaliwa wakati tulikua njema mkuu, nini kilifanya tutawaliwe wakati tumesafiri sana na tunajiweza??Colonialism hasa mental colonialism..
Unaona hapa Tu Kwa thread Mzungu hayupo lakini ana watumwa wake wanashupaza shingo kumtetea ..
Wapi tulifeli hadi mzungu akatuzidi kete mpaka leo?Ukisoma Aksum Empire ilikuwa Empire kubwa Sana walitawala sehemu ya Arabuni nchi kama Yemen, sisi tukisoma Historia ya mtume tunaambiwa mtume alizaliwa mwaka wa Tembo, huu ni mwaka Ambao Abraha wa Aksum alikuwa anapiga Saudi ya sasa tokea Ethiopia ya sasa akiwa na jeshi la Tembo.
Imagine Hio distance toka Africa hadi saudia na Tembo, walisafiri nao vipi, waliwalishaje safari ndefu hivyo etc. Lilikuwa taifa kubwa lenye nguvu na major Historia wote wanakubaliana juu ya Hili.
Hii ramani ikionesha reach ya Aksum
View attachment 2594255
Hapo Aksum iliunganisha super power wengine kama China, Persia na Roma.
Pia kama hao jamaa wanavyobwabwaja pumba lugha za Ki Africa zilikuwepo na zimeandikwa na vitabu vipo sababu hatufundishwi haimaanishi havikuepo
View attachment 2594262
View attachment 2594263
Hii ni Ge ez script iliotumika wakati wa aksum
Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.
Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?
Haya maoni ni kwa sababu ya elimu uliyopewa na mkoloni. Amekufundisha kujidharau. Ukishika kitabu na kutafuta maarifa huwezi kuwa na maoni haya.Hakuna cha supremacy prove jinsi culture , architecture ,science na technology ya mbantu ilikuwa superior kuzidi ya communities au races nyingine ,acha kujificha kwenye kichaka cha upumbavu cha kuutumia vague word "mtu mweusi" ,who the fvck is mtu mweusi ,wayemen wapo weusi wengi kibao ,hao unaweza kuclaim glory yao ,hao waTourage nk , kwanza hata hawajiidentify kama Waafrika au black people ,
Wabantu wengi ni watu inferior Sana .Kama wewe ambaye baba zako walikuwa wanajifunika majani kama bushmen kabla ya mkoloni kuja ,na huo ndio ukweli ,jamii zote za subsaharan zilikuwa ni bushmen au maprimitive Tu kama wasandawe , tena ushukuru kuja kwa mtu mweupe
Jinga wewe