Moors: Watu weusi waliotawala Ulaya na kugeuza wazungu watumwa...

Sasa nini kimemfanya mwafrica wa leo awe mjinga mjinga ona kama ma ccm yalivyo
 
Colonialism hasa mental colonialism..
Unaona hapa Tu Kwa thread Mzungu hayupo lakini ana watumwa wake wanashupaza shingo kumtetea ..
Sasa tulitawaliwa wakati tulikua njema mkuu, nini kilifanya tutawaliwe wakati tumesafiri sana na tunajiweza??
 
Wapi tulifeli hadi mzungu akatuzidi kete mpaka leo?
 
Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.

Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?
 
Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.

Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?

Mansa Mussa,Ibn Batuta...kuna watu weusi wenye history ya kutukuka hapa duniani ....
 
Haya maoni ni kwa sababu ya elimu uliyopewa na mkoloni. Amekufundisha kujidharau. Ukishika kitabu na kutafuta maarifa huwezi kuwa na maoni haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…