More pictures of Two Rivers Mall..largest mall in SS Africa outside S.A

hehehe which one when you reason funny, refuting scientifically researched Data and insist that what you feel and personally believe is god truth. Maybe it is , after all YOU YOU ARE THE GOD. Topic will only be relevant if you choose to be responsible enough to appreciate researched data and stop being jingoistic about generally everything not Tanzanian. There are things good about Tanzania, mention them in their own forums and you will not see us in there and if we do visit said forum, it will be to celebrate with you not blindly throw tantrums over whose Sugarcane is sweeter. Be THE GOD that you claim to be...THE GOD.
Sasa povu lote hilo la nini? Why don't you god to church and preach what your saying here. Nimekueleza rejea kwenye mada. Sasa hivi upo nje kabisa. Lakini kama unataka ligi na mimi nitakupuuza. Kama unataka tuongelee siginature yangu hili jukwaa halifai. Twende kwenye jukwaa la intelligent nitakudadavulia kila kitu. Ndio maana nasema rejea kwenye mada maana mwisho wa siku utatokwa povu mpaka basi.

Hizo inaziita scientific research. Nani kakwambia ratios ni scientific research? Hayo ma ratios ni watu wamekaa na kuyaweka hayana impact yoyote katika social development. Mfano mdogo tu kwenye nchi yenu hiyo ya kenya. Eti wamewaambia ninyi ni uchumi wa kati. Lakini nchi hiyo hiyo bado kuna watu wanakufa na njaa, watu wanakufa na malaria, Serikali inashindwa kulipa doctors,
Hapohapo wanawaambia kenya wanawatukana na kuwapa taarifa za 46% ya wakenya wanaishi under poverty line. Hivi unajua maana yake?

Kama 46% wanaishi under poverty line
Chukulia 30% wanaishi kwenye poverty line
20% wanakuwa wapo kwenye middle
Kwahiyo 76% ya wakenya ni maskini wanahitaji msaada. Hawana hata ardhi

Sasa huoni hawa wazungu wanawatukana? Halafu nyie mnakenua kenua meno tu.

Wewe hutumii common sense?

Hebu niletee facts hapa unadhani kwanini kenya wapo kwenye middle economic?
Niletee na references zikiendana na evidences za maisha halisi ya wakenya.

Zaidi ya hapo utakuwa unakenua kenua meno na kutumiwa na wazungu.
Wakeup bro
 
Sasa hizo indicator ulizoziweka unajua lengo lake nini? Wewe hutumii hata akili kidogo tu. Mbona hawajaweka mambo ya security?

Lengo la hizo indicators ni kuonyesha viashiria vya maendeleo.

Hii ni report ya world security index: http://wispindex.org/sites/default/files/downloadables/WISPI Report_EN_WEB_0.pdf
Kuanzia page ya 45 inaonyesha stats za nchi zilizofanyiwa study. Tanzania ipo karibu na nchi za mwisho. Of course, Kenya is worse than Tanzania.

Hujiulizi data hizo wanazipataje? Wewe hujui hizo data wanazipata kwa calculations zitokanazo na sample za watu wachache kisha wanatengeneza statistical data?
Kama ukishasema statistics, basi huwezi kuacha kufanya estimations. Hivyo utatumia sample population; yaani watu wachache ndiyo watatumika. Kuna sababu kadhaa za statisticians kutumia sample population badala ya the whole population: gharama na muda katika kukusanya taarifa za whole population na ku-analysis hizo taarifa. Ebu fikiria unakusanya taarifa za watu milioni 50 (kwa kutumia standard questionnaire inayotumia dakika 90, utatumia miaka 8,561 kumaliza kukusanya taarifa tu; hapo bado hujaanza ku-sort na ku-clean hizo data, kabla ya analysis).

Hivyo tafiti zote zile utumia sample population (ambaye theoretically inapaswa kuwa representative population). Hii ndiyo common practice. Kama una-question hii basic research practice, basi nitajiuliza juu ya uelewa wako wa utafiti.

Lini umewasikia wakihesabu watu tangu tuhesabu miaka mingi iliyopita?

Sijaelewa swali lako! World Bank wana representatives kwenye kila nchi mwanachama na pia utumia takwimu kutoka national statistics bureaus za nchi husika. Hizo ndizo njia ambazo utumia kupata taarifa. Hivyo huwezi kuona wao wakihesabu watu, wakati taifa husika lina census data kutoka kwenye population census. Tanzania tumefanya mara ya mwisho mwaka 2012.

Wewe hujui hizo data ni za kupika? Hujui kuwa kunaformula wanazo ziweka nakupata majibu bila hata kwenda field.
Aiseee! Kwa kuzingatia majibu niliyosema hapo juu, unaweza ku-prove ulichokisema? Ama unataka kusema hata national bureau of statistics ya Tanzania nao wanapika data? World Bank siyo lazima waende field (ingawa ufanya hivyo kupitia kwa country representatives), wanaweza kutegemea takwimu zinazoandaliwa na nchi husika.

Kwanini tukubali kupumbazwa na wazungu.
Sijaelewa pia. Kupumbazwa kivipi? Ungekuwa unaelewa namna takwimu za World Bank zinavyokusanywa usingesema haya. Mostly, takwimu zao utegemea takwimu za nchi husika. Labda kama ulitaka kusema kwanini tujipumbaze wenyewe!!
 
Lengo la hizo indicators ni kuonyesha viashiria vya maendeleo.

Hii ni report ya world security index: http://wispindex.org/sites/default/files/downloadables/WISPI Report_EN_WEB_0.pdf
Kuanzia page ya 45 inaonyesha stats za nchi zilizofanyiwa study. Tanzania ipo karibu na nchi za mwisho. Of course, Kenya is worse than Tanzania.

Kama ukishasema statistics, basi huwezi kuacha kufanya estimations. Hivyo utatumia sample population; yaani watu wachache ndiyo watatumika. Kuna sababu kadhaa za statisticians kutumia sample population badala ya the whole population: gharama na muda katika kukusanya taarifa za whole population na ku-analysis hizo taarifa. Ebu fikiria unakusanya taarifa za watu milioni 50 (kwa kutumia standard questionnaire inayotumia dakika 90, utatumia miaka 8,561 kumaliza kukusanya taarifa tu; hapo bado hujaanza ku-sort na ku-clean hizo data, kabla ya analysis).

Hivyo tafiti zote zile utumia sample population (ambaye theoretically inapaswa kuwa representative population). Hii ndiyo common practice. Kama una-question hii basic research practice, basi nitajiuliza juu ya uelewa wako wa utafiti.

Sijaelewa swali lako! World Bank wana representatives kwenye kila nchi mwanachama na pia utumia takwimu kutoka national statistics bureaus za nchi husika. Hizo ndizo njia ambazo utumia kupata taarifa. Hivyo huwezi kuona wao wakihesabu watu, wakati taifa husika lina census data kutoka kwenye population census. Tanzania tumefanya mara ya mwisho mwaka 2012.

Aiseee! Kwa kuzingatia majibu niliyosema hapo juu, unaweza ku-prove ulichokisema? Ama unataka kusema hata national bureau of statistics ya Tanzania nao wanapika data? World Bank siyo lazima waende field (ingawa ufanya hivyo kupitia kwa country representatives), wanaweza kutegemea takwimu zinazoandaliwa na nchi husika.

Sijaelewa pia. Kupumbazwa kivipi? Ungekuwa unaelewa namna takwimu za World Bank zinavyokusanywa usingesema haya. Mostly, takwimu zao utegemea takwimu za nchi husika. Labda kama ulitaka kusema kwanini tujipumbaze wenyewe!!
Kwanza umekubali hizo data sio za kweli sawa? Umekubali data hizo ni za kupikwa sawa? Sasa kama wameajiliwa kwaajili ya kazi hiyo. Kwanini wasiweke representative katika kila kijiji ili kupata data zinazokaribiana na ukweli?
Hizo sample wanazotumia wanazioataje? Vigezo vipi wanavitumia kuhakikisha kuwa hizo sample zina represent the true things?

Kwani mnasema hizo ni scientific wakati data hizo ni za kupika? Hayo mambo ya statistics siyo sayansi ni siasa tu na zinalengo lake.
Huzo data za world bank ni za uongo. Zimekaa kisiasa zaidi.
 
Ustawi wa jamii, siyo? Social welfare, right? Ebu toa data na stats ku-prove unachokisema.

Hayo mataifa ya kijamaa unayoyasema ni yepi? Na ya kibepari ni yepi?

Nchi inayotoa food stamps na unemployment wages utaiweka kwenye category ipi: ujamaa au ubepari? Marekani na mataifa mengi ya Ulaya yana taratibu hizi. Lakini mataifa yanayojiita ya kijamaa kama Tanzania (?) hayana utaratibu huu!!

Unaongelea mambo ya kwenye vitabu au on the ground? Tukisema Tanzania ni nchi ya kijamaa, hicho ulichokisema ndivyo ilivyo? Cuba je? China? Urusi? Huko kote kila mwanajamii anaakikishiwa mahitaji yake muhimu? Kama ndivyo, nchi hizo si zingekuwa zinaoongoza kwenye human development index. Ebu angalia mwenyewe hapa: | Human Development Reports

Ebu angalia hizi world health statistics:

a) za USA - http://www.who.int/gho/countries/usa.pdf, na

b) za Cuba - http://www.who.int/gho/countries/cub.pdf

On other hand, huduma za afya ni moja tu ya indicators za maendeleo. Yes, Cuba's healthcare system is one of the best (and the only best amongst the so called socialist countries), but kuna indicators zingine, ambazo Cuba is struggling.

Cuba ni exceptional case kati ya socialist countries kwenye suala la healthcare. Soma hapa kidogo: Cuba's Health Care System: a Model for the World | The Huffington Post

Taja nchi zingine zinazojiita za kijamaa ambazo zinafanya vizuri kwenye healthcare.
Kwanza hili liko wazi kwamba mfumo wa kijamaa ni kama umeshauawa duniani. Hivyo hata Tanzania si nchi ya kijamaa ktk mawanda haya.

Lakini hili halituondelei uhalisia wa huu mfumo kuwa bora pale ulipofanikiwa. Kama ni wa vitabuni au laa, jicho la mwenye hekima uliona hili.

Kwa Tanzania, ujamaa wetu ulikuwa uko tofauti na ule wa China, na wa China na Russia ni tofauti pia. Mfano, kwa Tz private sector iliruhusiwa, ktk yale mambo ambayo nchi haiwezi, lakini pia ni kwa maslahi mapana ya umma si mtu binafsi.

Haihitaji degrees mtu kulijua hili, faida anayoiingiza Bakresa ingekuwa ni ya umma, kwa ustawi wa umma. Kumbuka, hata makampuni ya serikali pia hulipa kodi.

Sidhani kama nimejieleza vyema, hata hivyo sikutarajia kulieleza vyema kupitia huu ukurasa mdogo. Ila kwangu inaleta mantiki.

Nadhani ndo maana hata ukristo umejengwa ktk misingi hii. Hainiingii akilini hata kidogo, nchi kama India kuwa na maskini wa kutupwa hata kumzidi maskini aliyeko Tanzania. Uchumi kama huo, binafsi hata siushadadii.

Halafu, hivi hata furaha na kweli juu ya kuishi kwa mwadamu, tathimini na vipimo ni vile vitolewavyo na WB na IMF?????!!!!
 
Sasa povu lote hilo la nini? Why don't you god to church and preach what your saying here. Nimekueleza rejea kwenye mada. Sasa hivi upo nje kabisa. Lakini kama unataka ligi na mimi nitakupuuza. Kama unataka tuongelee siginature yangu hili jukwaa halifai. Twende kwenye jukwaa la intelligent nitakudadavulia kila kitu. Ndio maana nasema rejea kwenye mada maana mwisho wa siku utatokwa povu mpaka basi.

Hizo inaziita scientific research. Nani kakwambia ratios ni scientific research? Hayo ma ratios ni watu wamekaa na kuyaweka hayana impact yoyote katika social development. Mfano mdogo tu kwenye nchi yenu hiyo ya kenya. Eti wamewaambia ninyi ni uchumi wa kati. Lakini nchi hiyo hiyo bado kuna watu wanakufa na njaa, watu wanakufa na malaria, Serikali inashindwa kulipa doctors,
Hapohapo wanawaambia kenya wanawatukana na kuwapa taarifa za 46% ya wakenya wanaishi under poverty line. Hivi unajua maana yake?

Kama 46% wanaishi under poverty line
Chukulia 30% wanaishi kwenye poverty line
20% wanakuwa wapo kwenye middle
Kwahiyo 76% ya wakenya ni maskini wanahitaji msaada. Hawana hata ardhi

Sasa huoni hawa wazungu wanawatukana? Halafu nyie mnakenua kenua meno tu.

Wewe hutumii common sense?

Hebu niletee facts hapa unadhani kwanini kenya wapo kwenye middle economic?
Niletee na references zikiendana na evidences za maisha halisi ya wakenya.

Zaidi ya hapo utakuwa unakenua kenua meno na kutumiwa na wazungu.
Wakeup bro

I refuse to engage you intelligently until you understand and appreciate the meaning of 'Scientifically Researched Data'. Other than that I think your signature interests me more than your words. So until then, back to 'ME. I AM THE GOD'. Tell me more.
 
Depay, amini hivyo hao si maskini hata kidogo. Huwa wanakuja kwa misimu, wana likizo za kurudi makwao nk. Wakamateni muwalazimishe wakaoneshe makwao, mtajuta mlizokuwa mkiwapa.
Tanzania haina watu masikini waloshindikana bana.
Anko Magu anakaza uzi, utakuja niambia. Wote tutabadili filosofi zetu.

Endelea kufanya hivi.
head-in-sand.jpg
 
Kwanza umekubali hizo data sio za kweli sawa? Umekubali data hizo ni za kupikwa sawa? Sasa kama wameajiliwa kwaajili ya kazi hiyo. Kwanini wasiweke representative katika kila kijiji ili kupata data zinazokaribiana na ukweli?
Hizo sample wanazotumia wanazioataje? Vigezo vipi wanavitumia kuhakikisha kuwa hizo sample zina represent the true things?

Kwani mnasema hizo ni scientific wakati data hizo ni za kupika? Hayo mambo ya statistics siyo sayansi ni siasa tu na zinalengo lake.
Huzo data za world bank ni za uongo. Zimekaa kisiasa zaidi.
Napoteza muda wangu tu! I'm out bruh!
 
I refuse to engage you intelligently until you understand and appreciate the meaning of 'Scientifically Researched Data'. Other than that I think your signature interests me more than your words. So until then, back to 'ME. I AM THE GOD'. Tell me more.
So your much interested on my signature than the topic we are talking about sio?
Ni namna gani ulivyo na uelewa finyu. Wewe unataka ku discuss personal issues than the topic.

Huo ni ufinyu wa uelewa.
Back to the topic. Niletee references na evidences kuhusu namna gani nchi yenu ipo kwenye uchumi wa kati. Sio kukenua kenua meno kama unatekenywa.
 
Kwanza hili liko wazi kwamba mfumo wa kijamaa ni kama umeshauawa duniani. Hivyo hata Tanzania si nchi ya kijamaa ktk mawanda haya.

Sasa kama ujamaa umeshakufa, ulichokisema awali kilikuwa nini?!? Kwamba nchi za kijamii kuna mgawanyo sawa wa mahitaji ya msingi. Ndiyo maana nikakuuliza nchi hizo ni zipi?

Lakini hili halituondelei uhalisia wa huu mfumo kuwa bora pale ulipofanikiwa. Kama ni wa vitabuni au laa, jicho la mwenye hekima uliona hili.

Ujamaa ulifanikiwa wapi kiuhalisia?

Kwa Tanzania, ujamaa wetu ulikuwa uko tofauti na ule wa China, na wa China na Russia ni tofauti pia. Mfano, kwa Tz private sector iliruhusiwa, ktk yale mambo ambayo nchi haiwezi, lakini pia ni kwa maslahi mapana ya umma si mtu binafsi.

Private sector wakati wa ujamaa wa Nyerere? Ebu toa mifano ya private sector wakati wa Nyerere. Hapa naongelea ule ujamaa wa Nyerere wa miaka ya 1970.

Haihitaji degrees mtu kulijua hili, faida anayoiingiza Bakresa ingekuwa ni ya umma, kwa ustawi wa umma. Kumbuka, hata makampuni ya serikali pia hulipa kodi.

Kulikuwa na makampuni ya serikali wakati wa Nyerere, naamini unafahamu yalivyofeli. Kwa hiyo kuwa tu na makampuni ya serikali siyo suluhisho.

Sidhani kama nimejieleza vyema, hata hivyo sikutarajia kulieleza vyema kupitia huu ukurasa mdogo. Ila kwangu inaleta mantiki.

Na kweli sijakuelewa. Kwani maswali niliyokuuliza hujayajibu kila moja kama nilivyokuuliza.

Ujamaa unaleta mantiki? Ndiyo maana nimekuuliza utoe mifano ya success stories za ujamaa.

. Hainiingii akilini hata kidogo, nchi kama India kuwa na maskini wa kutupwa hata kumzidi maskini aliyeko Tanzania. Uchumi kama huo, binafsi hata siushadadii.

Kimsingi hakuna nchi ambayo ina practice ujamaa ama ubepari kwa asilimia 100. Mixed ideology/economy ndiyo common practice. Ndiyo maana nilikupa mifano ya food stamps, unemployment wages, na subsidised public transportation na agriculture kwenye nchi ziitwazo za kibepari. Lakini kukiwa hakuna mambo kama hayo kwenye nchi zinazoitwa za kijamaa. China, Urusi na Cuba kimsingi mifumo yao ya kiuchumi ni ya kibepari zaidi; ni mifumo ya kisiasa ndiyo ina chembe chembe za kijamaa (communism to be exact).

Kinachokosekana India ni social welfare system (ambayo kimsingi ni facet ya socialism), ambayo itaweka utaratibu wa kuhakikisha pato la taifa linamgusa kila mtu. Ndiyo maana Marekani na Ulaya wana unemployment benefits kwa watu wasio na ajira (angalau waweze kupata basic needs), food stamps na subsidised public transportation ili usafiri wa umma uwe affordable kwa wengi.

Kwa wenzetu pia mahitaji ya msingi kama chakula na home groceries yapo katika varieties/categories mbalimbali ili hata yule wa kipato cha chini aweze kuyapata. Jambo ambalo kwa nchi kama za kwetu halipo. Kiuhalisia Mengi na maskini miye tunanunua mahitaji yetu kwenye soko moja la bidhaa lenye bei sawa. Hivyo mwenye kuumia ni mimi, pale bei ya hitaji la msingi inapokuwa kubwa kuliko uwezo wangu, na kunapokuwa na variety moja tu ya kuchagua.

Halafu, hivi hata furaha na kweli juu ya kuishi kwa mwadamu, tathimini na vipimo ni vile vitolewavyo na WB na IMF?????!!!!
Kama hutaki za WB na IMF, una alternative? Ebu tupatie alternative tathmini na vipimo. Ni rahisi kupinga jambo.
 
We muache tu akenue meno km Ngili poli ,wanauchumi imala wanafunzi mashulen wanakula sukuma wiki mpaka wanakondeana km mbu alokosa damu!
 
So your much interested on my signature than the topic we are talking about sio?
Ni namna gani ulivyo na uelewa finyu. Wewe unataka ku discuss personal issues than the topic.

Huo ni ufinyu wa uelewa.
Back to the topic. Niletee references na evidences kuhusu namna gani nchi yenu ipo kwenye uchumi wa kati. Sio kukenua kenua meno kama unatekenywa.

Again, I'll state till you get it. Your reasoning does not warrant any intelligent engagement. Your signature is more interesting than what you have to say which is fluent b.u.l.l.c.r.a.p. This is me lowering myself down to your level to at least engage you, albeit on your signature, not the topic at hand (FYI: I'm helping you, other people would say thank you)
 
How foreign beggars strike it rich in Kenya
1242002.jpg

A Tanzanian man, his wife, and the street beggars they were arrested with on Wednesday night for collecting money in Embu town. Photo/KNA

They cross the borders from Tanzania in droves headed for Nairobi to exploit the generosity of Kenyans. Now they have started spreading their wings to other towns in Kenya, writes MICHAEL ORIEDO Seated on a tattered mat along Tom Mboya Street, Nairobi, the elderly blind man incessantly shakes a rusty tin urging passers-by to put some money in it. While some do, others cast piteous glances at him and hurry away. And as this goes on, a young man hovers around him, intermittently picking money from the tin and stuffing it safely in his pockets. Beggars in Nairobi and other towns rake in between Sh500 to Sh2,000 daily by feigning disability or sickness.

But a closer look reveals some lead comfortable lifestyles in the slums. [PHOTOS: Mbugua Kibera/ Standard] Occasionally, the man walks to the opposite street where a disabled woman sits on a rug and engages her in banter. The two are among dozens of disabled men and women from Tanzania who have crossed over to earn a living through begging in Kenya. better opportunities So lucrative is the trade that many Tanzanians cross into Kenya every month in search for greener pastures. CCI tracked the beggars to their dwellings in Korogocho slum, where majority of them live. There, we met two disabled beggars, Semunde and Maziba, who had arrived into the country from Shinyanga, Tanzania a few days ago. "Tulikuja kujitafutia riziki. Hapa maisha ni mazuri na watu wana roho ya kusaidia. (We came to Kenya to look for better opportunities. Here, life is good and people are good-hearted and benevolent)," Semunde explained. The two say a fellow Tanzanian who has lived in Kenya for several years brought them into the country. "We paid him Tsh10,000 (Sh500) each to bring us here. This did not include our fare," they say. Semunde, a father of two, says what inspired them to travel to Kenya is the success of fellow Tanzanians who are ‘working’ in the country. "A village mate came here and went back home rich. He bought a piece of land, built a house and he has employed someone to run a posho mill for him as he ‘works’ in Kenya," he says. The two also hope to strike it rich like their friends. Currently, they have started to learn the trade. "We go to beg in Kariobangi and adjacent areas. We do not go to the city centre because we are not familiar with this place. Soon, we shall start going there where people make good money," Fredrick says. In a day, they make a minimum of Sh500. "This is good money compared to what we used to earn back home," says Semunde who was a village elder in Tanzania. high value "Kenyan money has a high value, so if you beg and get as little as Sh200, that’s a lot of money when you convert to Tanzanian currency," Fredrick adds. Semunde and Maziba, who are village mates, say they travelled to Kenya from Tanzania through Sirare border point in Kisii. "We passed through the border without any restriction.

The officers did not question us about where we were going and what we were planning to do in Kenya," Maziba says. CCI also met Juma, a Tanzanian from Temere, Dar-es-salaam. Juma lives in Kenya with his grandmother who begs on the streets of Nairobi. His grandmother came into the country in 1987 and has not returned home since then. "When she first came to Kenya, she lived in Nairobi, then moved to Majengo, Nyeri for a few months before returning to the city," he says. Juma, who is married to a Kenyan, says his grandmother earns her living through begging. Every morning, he takes her to the city centre at a spot near the Globe Cinema Roundabout and picks her at about 8pm. modest families "On a good day, she makes about Sh2,000. However, often she makes between Sh1,000 and Sh1,500. The money has been able to take care of our needs," he says.The 37-year-old says his grandmother has declined to return home because of the money she makes in Kenya. "I have been forced to stay in Kenya because of her.

I cannot leave her here alone since she cannot take care of herself," he says. Ironically, although his grandmother engages in begging, Juma comes from a modestly well off family. "My mother is a soldier in the Tanzanian army," he informs us. "There is a time she wanted to repatriate my grandmother but she refused to go back arguing she would be idle at home," he says. Juma acknowledges that begging is a lucrative trade and many Tanzanians, especially the disabled, have been lured into the country to engage in it. Some, he says, with the help of Kenyans, have turned it into a business. "They go to Tanzania, pick disabled people and bring them into the country after getting money from them. I have met some disabled people who have paid as much as Tsh30,000 (Sh1,670) to come to Kenya to beg," he says. In addition to the trafficking, he attributes the influx of the beggars in Kenya to the way disabled people are treated back home. "There is a time in 1990s the Tanzanian government started a programme to help disabled people. They were being given food and housing but the scheme collapsed. So many turned into begging to earn a living. But at home if you beg, you are seen as a misfit," he says. Mr Robert Muema, Chief Children’s Officer at City Council of Nairobi says the council is alarmed with the influx of beggars on the streets. "We have credible information they come from Tanzania and other neighbouring countries. They are so many and a nuisance to the public.

We have received many complaints about them," he says. However, Muema notes that the council is in a dilemma on how to handle the issue. "In our laws, begging is not an offence. These people can only be charged with being a public nuisance. We have arrested them before and taken them to court but they are released," he says. He says because the beggars are adults, the council cannot take them to rehabilitation homes. "When we round them from the streets, we must find a place to take them. Normally, for children, we take them to our rehabilitation centres, but for adults this is not possible," he says. flashy lifestyles The begging problem is now spreading to other towns across the country. "The beggars have become very crafty. They move from one town to another. They spend a week in Thika, the next in Nakuru and so on. This enables them to make more money," Muema says.However, he blames the public for encouraging the vice. "People have realised that Kenyans are generous. This fame has spread beyond our borders, therefore, some unscrupulous people come into the country to beg.

If we restraint from giving them money, they will not be on the streets," he says. Muema says the city council is working with the police and the provincial administration to address the menace. "It is a complex affair since the East African Community protocol allows free movement of people. We would also want to deal with them in a way that does not infringe on their rights and eradicates the menace in total," he says. The Tanzanian High Commission did not comment on the issue even after CCI emailed questions to the High commissioner. In Korogocho slums where some of the beggars live, residents regard them as rich. They know they earn plenty of easy money from begging, therefore, they help them spend it. Among those who do it are chang’aa brewers and prostitutes. In the evening, it is common to see the beggars in the company of women. "These women will help to push their wheelchairs, prepare food and other activities so that they have a share of their money," says Naomi Wanjiru, a resident of Korogocho. Residents are also used to seeing the beggars drunk. "Some of them drink to the point that they lose their senses. You will find them lying on the road unable to trace their way back home," she says. Recently, fire razed down shanties and some ‘rescuers’ made away with a lot of money stored in piggy banks. "My grandmother lost Sh20,000 in coins during the incident," Juma says. "Two of our neighbours also lost similar amounts," he says. Juma says they keep their money in piggy banks because they cannot open accounts in Kenyan banks.
Read more at: How foreign beggars strike it rich in Kenya
 
very good story Annael come and see
 
.
Hahahaha..... Ati hawa wako na Passport....These Danganyikans. ....
 
Tusije tukawa so proud hapa " a big mall in africa mavi ya kuku etc" but in details the thing is not owned by Kenyans.
Big share belongs to foreigner.
Like mlimani city in Dar.
Centum Investments, commonly known as Centum is a public East African investment company. It operates as an affiliate of the Kenyan government-owned Industrial and Commercial Development Corporation (ICDC).

ICDC was founded in 1954 as a government parastatal, whose primary objective was to provide a vehicle for Kenyans to invest in the economy of newly independent Kenya by investing in Kenyan companies. In 1967, ICDC formed the subsidiary ICDC Investment Company Limited, whose shares were listed on the NSE.

In 1998, with the Government of Kenya having sold some of its majority shareholding, ICDC Investment Company adopted a new management structure, handing over day-to-day management to an independent professional managerial team, supervised by an independent board of directors elected by the shareholders.

In 2007, the shareholders changed the name of the company to Centum Investment Company Limited. The shares of Centum Investment Company Limited have been publicly traded on the NSE since 1967 and on the USE since 10 February 2011. Plans are underway to crosslist the company stock on the Dar es Salaam Stock Exchange and on the Rwanda Stock Exchange.

Major shareholders of centum
wp_ss_20170105_0001.png

Investments

This division acquires equity positions in non-publicly-traded companies, mainly in the African Great Lakes region, but increasingly in other parts of the continent as well.Per its March 2014 annual report, these included:
◾Centum Asset Managers Limited - 100 percent shareholding - A fund manager in Kenya.
◾King Beverage Limited - 100 percent shareholding - Owner of a franchise marketing contract with Danish beer manufacturer Carlsberg.
◾Genesis Kenya Investment Management Limited - 73.35 percent shareholding - The second largest fund manager in Kenya.
◾Sidian Bank - 67.54 percent shareholding - A commercial bank in Kenya, licensed by the Central Bank of Kenya, the national banking regulator.
◾Almasi Beverages Limited - 50.95 percent shareholding[18] - The second largest Coca Cola bottling franchise in Kenya.
◾Amu Power Company - 51 percent shareholding - A power generation company.
◾Platcorp Holdings - Owner of Platinum Credit. 45 percent shareholding. A short term financing company with subsidiaries in Kenya, Uganda, and Tanzania.
◾Nairobi Bottlers - 27 percent shareholding - The largest of the Coca Cola franchises in Kenya.
◾Kenya Wine Agencies Limited - 26.43 percent shareholding - A leading manufacturer, distributor, and importer of wines and spirits in East Africa.
◾Aon Insurance Brokers - 21.5 percent shareholding - An insurance brokerage and consulting services company and the Kenyan subsidiary of Aon Plc.
◾General Motors East Africa - 17.8 percent shareholding - A motor vehicle retailer in Kenya and the local subsidiary of American based General Motors.
◾NAS Servair - 15 percent shareholding - An on-site airport catering facility supplying over 30 International airlines that fly into and out of the Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi and Moi International Airport in Mombasa.

Real Estate and InfrastructureEdit

This division is involved in real estate development in Kenya and Uganda, with an eye to expanding into other countries in the African Great Lakes region. These include:
◾Athena Properties Limited - 100% shareholding - A real estate management, ownership, and development company. Athena Properties Limited is currently overseeing the Two Rivers Project in Ruaka near Nairobi, Kenya and Pearl Marina in Entebbe, Uganda.
 
Kwahyo ulichowapongeza hapa ni nini? Kwamba wamefaulu kuwavutia wawekezaji au wameendelea kiujenzi au ustawi wa wakenya umeimarika?

Nadhani bana ba Afrika, sasa tunapoteza dira, maono na matarajio ya kujipigania uhuru. Sisi ni wajinga kuliko machief walorubuniwa na wakoloni kwa vitambaa vya nguo na wakauza nchi zao.

Big up wakenya kwa Mobius yenu, haya ndo maendeleo, maumau waliyafia. Takataka nyingine msituletee... ni ujinga wa kiubongo huo. Majengo, maduka, tena kwa teknolojia msiyoijua, ni upuuzi sana.

Chifu kuhusu ujinga mimi si mjinga niko na akili zangu njema sana sana (even kwa standard zako) labda ujinga uko kwako mkuu mimi na kizazi changu hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...nimewapongeza kwa miundombinu ambacho hujaelewa nn?
 
Centum Investments, commonly known as Centum is a public East African investment company. It operates as an affiliate of the Kenyan government-owned Industrial and Commercial Development Corporation (ICtDC).

ICDC was founded in 1954 as a government parastatal, whose primary objective was to provide a vehicle for Kenyans to invest in the economy of newly independent Kenya by investing in Kenyan companies. In 1967, ICDC formed the subsidiary ICDC Investment Company Limited, whose shares were listed on the NSE.

In 1998, with the Government of Kenya having sold some of its majority shareholding, ICDC Investment Company adopted a new management structure, handing over day-to-day management to an independent professional managerial team, supervised by an independent board of directors elected by the shareholders.

In 2007, the shareholders changed the name of the company to Centum Investment Company Limited. The shares of Centum Investment Company Limited have been publicly traded on the NSE since 1967 and on the USE since 10 February 2011. Plans are underway to crosslist the company stock on the Dar es Salaam Stock Exchange and on the Rwanda Stock Exchange.

Major shareholders of centum
View attachment 454475

please tag all of them in this. They need to know.
 
Peael Marina in Uganda..... This what happens when you allow kenyan investment wholeheartedly

Centum Investment company, said the firm will invest $100 million (about Shs250 billion) in the first phase of the Pearl Marina project, to be situated on the shores of Lake Victoria.

First phase
Phase one of the project, which is expected to start in the second quarter of next year, will include building a hotel resort, serviced apartments, a marina – a sheltered harbour that caters for small boats – and a golf course.

C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_comm001px.jpg
 
Back
Top Bottom