kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
- Thread starter
-
- #81
Asante kwa ushauri mzuriPole Mkuu cha msingi usikate tamaa kwenye mahusiano pia usifanye hit and run ,Muda ndo utakupa majibu sahihi .
Mfalme Ahasuero alimpenda Sana Esther isitoshe Esther alilelewa katika dini alikuwa mcha Mungu , binti mpole na mtiifu.Najiuliza Sana huyu jamaa uliesema hata nusu ya ufalme angempatia mwanamke,
Alipata wapi ujasiri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini kina Esther hawapo kipindi hiki?Mfalme Ahasuero alimpenda Sana Esther isitoshe Esther alilelewa katika dini alikuwa mcha Mungu , binti mpole na mtiifu.
Bestyy akikujibu nitag.Mkuu kweli??
Maisha hayapo fair siku zote wanaume pia wanaumiza wanawake .
Haha wapo ila sijui sayari gani ...
Natamani Sana nimpate mwanamke alieumizwaMaisha hayapo fair siku zote wanaume pia wanaumiza wanawake .
Ulimnunulia gari aina gani?
Wapo wengi tu anzia mtaani kwako au kanisani .Natamani Sana nimpate mwanamke alieumizwa
Anaejua mapenzi Ni Nini
I swear sitomuumiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu ya nyie vijana
DuhWapo wengi tu anzia mtaani kwako au kanisani .
Mbona gari sio lazima kwenye mapenzi!Ulimnunulia gari aina gani?
Kwahiyo haukumnunulia, na anasema ulimpa kila kitu?
Hahaha