Moreen, dawa yako iko jikoni inachemka

Kusoma hapa inabidi utumie na magadi kabisa, didy kama didy!
 
Man ww fanya kama wajumbe. Kata supply ya huduma.. usimpe pesa yoyote. Kata supply ya shobo. Naww endelea na maisha yako.
Atajishtukia huko alipo.

Hakuna muda wa kipoteza kwa mwanamke asikusaidia lolote.
 
Hakuna kamba mkuu ngoja yakukute
Saikolojia inaniambia bado unampenda moreen, we tulia jipange vizuri unaweza kuta ukaoa huyo huyo, mapenzi ni ujinga ujinga tu, hakuna usiriaz mkuu, leo utalalama kesho unakuwa wa kwanza kumpigia, vuta stoney tangawizi kunywa alafu tulia!
 
Huyu mwanamke kanifanya niwe muumini wa sad songs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…