Morocco kwenda Ulaya (Uhispania na Ureno) ni karibu kuliko Zanzibari na Dar (umbali wa fukwe ni 14km)

Morocco na Tanzania haziwez kufanana kama ilivo Morocco kufanana na United kingdom kutokana na umbali. Kama Morocco ni ulaya kisa 14km Why spain isiwe ni Africa [emoji16]
 
Hapa kwenye usafiri wa ndege ndio umeniacha, inakuaje 14 km difference utembee kwa lisaa limoja kama Dar to Mwanza while unasema umbali ni karibu kuliko Dar na Znz?
Uwe unasoma vzur kaka. Kasema 14km ni kutoka fukwe ya Morocco mpka fukwe ya Spain, 1hr by flight ni kutoka mji mkuu wa Morocco to mji mkuu wa spain
 
Morocco na Tanzania haziwez kufanana kama ilivo Morocco kufanana na United kingdom kutokana na umbali. Kama Morocco ni ulaya kisa 14km Why spain isiwe ni Africa [emoji16]
Aigwa mwenye nguvu
 
Kwa kutumia vigezo hivyo hivyo, basi SPAIN NAO NI WAARABU HIVYO NI WAAFRIKA NA WAJIUNGE AU
 
Koo zao zina ingilianaje embu fafanua vizuri ..maana bado kuna ukakasi ....swala la ukaribu ki geographia haitoshi kusema kuna muingiliano
 
Na hayo maeneo (ceuta na melilla) Spain imeyapora toka Morocco! Kiufupi ni maeneo ya ya Morocco yanayotawaliwa na Spain
 
Na hayo maeneo (ceuta na melilla) Spain imeyapora toka Morocco! Kiufupi ni maeneo ya ya Morocco yanayotawaliwa na Spain
Waliyapora kiusalama zaidi kwao kama sisi tulivyopora ziwa vikitoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…