- Thread starter
- #61
Kuna ukuta umejengwa! Kuzuia wazamiajiSo kwa muogoleaji mahiri anapiga mbizi tu huyoo Spain.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ukuta umejengwa! Kuzuia wazamiajiSo kwa muogoleaji mahiri anapiga mbizi tu huyoo Spain.
Morocco na Tanzania haziwez kufanana kama ilivo Morocco kufanana na United kingdom kutokana na umbali. Kama Morocco ni ulaya kisa 14km Why spain isiwe ni Africa [emoji16]Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya!
Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja!
Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na visiwani!
Kwa usafiri wa ndege kutoka miji muhimu ya Morocco na Uhispania ni mwendo wa saa moja na dakika kumi tu kwani kuna umbali wa takriban kilomita elfu moja tu, umbali ambao ni sawa na kutoka Dar to Mwanza!
Kiufupi hawa waarabu wapo Afrika basi tu lakini asili yao ni Ulaya! Matendo yao ni ulaya, elimu yao ni ulaya, mitaala yao ni ulaya n.k
Tabia za Mreno na Mhispania nyingi zinaingiliana sana na Wamorocco!
Kuiweka kundi moja Morroco na Tanzania ni sawa na kulinganisha nywele za utosini na vinyweleo vya miguu! Hatufanani hata kidogo!
View attachment 2448016
Uwe unasoma vzur kaka. Kasema 14km ni kutoka fukwe ya Morocco mpka fukwe ya Spain, 1hr by flight ni kutoka mji mkuu wa Morocco to mji mkuu wa spainHapa kwenye usafiri wa ndege ndio umeniacha, inakuaje 14 km difference utembee kwa lisaa limoja kama Dar to Mwanza while unasema umbali ni karibu kuliko Dar na Znz?
Sawa nimeelewaUwe unasoma vzur kaka. Kasema 14km ni kutoka fukwe ya Morocco mpka fukwe ya Spain, 1hr by flight ni kutoka mji mkuu wa Morocco to mji mkuu wa spain
Asili ya Africa ni ipi?Ukweli ni kuwa Morocco hawana asili ya waafrica , hyo mipaka ivunjwe tuu jamaa warud ulaya , wanajielewa Sana hawa mamwamba ,
Aigwa mwenye nguvuMorocco na Tanzania haziwez kufanana kama ilivo Morocco kufanana na United kingdom kutokana na umbali. Kama Morocco ni ulaya kisa 14km Why spain isiwe ni Africa [emoji16]
Mpasuko wa ardhiAsili ya Africa ni ipi?
MwambieUwe unasoma vzur kaka. Kasema 14km ni kutoka fukwe ya Morocco mpka fukwe ya Spain, 1hr by flight ni kutoka mji mkuu wa Morocco to mji mkuu wa spain
Kwa kutumia vigezo hivyo hivyo, basi SPAIN NAO NI WAARABU HIVYO NI WAAFRIKA NA WAJIUNGE AUHili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya!
Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja!
Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na visiwani!
Kwa usafiri wa ndege kutoka miji muhimu ya Morocco na Uhispania ni mwendo wa saa moja na dakika kumi tu kwani kuna umbali wa takriban kilomita elfu moja tu, umbali ambao ni sawa na kutoka Dar to Mwanza!
Kiufupi hawa waarabu wapo Afrika basi tu lakini asili yao ni Ulaya! Matendo yao ni ulaya, elimu yao ni ulaya, mitaala yao ni ulaya n.k
Tabia za Mreno na Mhispania nyingi zinaingiliana sana na Wamorocco!
Kuiweka kundi moja Morroco na Tanzania ni sawa na kulinganisha nywele za utosini na vinyweleo vya miguu! Hatufanani hata kidogo!
View attachment 2448016
Angalia hata Mpira wanaocheza siyo kiafrika kulala lala wanaupiga mwingiKwa kutumia vigezo hivyo hivyo, basi SPAIN NAO NI WAARABU HIVYO NI WAAFRIKA NA WAJIUNGE AU
Koo zao zina ingilianaje embu fafanua vizuri ..maana bado kuna ukakasi ....swala la ukaribu ki geographia haitoshi kusema kuna muingilianoHili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya!
Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja!
Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na visiwani!
Kwa usafiri wa ndege kutoka miji muhimu ya Morocco na Uhispania ni mwendo wa saa moja na dakika kumi tu kwani kuna umbali wa takriban kilomita elfu moja tu, umbali ambao ni sawa na kutoka Dar to Mwanza!
Kiufupi hawa waarabu wapo Afrika basi tu lakini asili yao ni Ulaya! Matendo yao ni ulaya, elimu yao ni ulaya, mitaala yao ni ulaya n.k
Tabia za Mreno na Mhispania nyingi zinaingiliana sana na Wamorocco!
Kuiweka kundi moja Morroco na Tanzania ni sawa na kulinganisha nywele za utosini na vinyweleo vya miguu! Hatufanani hata kidogo!
View attachment 2448016
Na hayo maeneo (ceuta na melilla) Spain imeyapora toka Morocco! Kiufupi ni maeneo ya ya Morocco yanayotawaliwa na SpainUkiwa Morocco huwezi kufika Spain kirahisi, Spain ina maeneo mawili yalio bara la Africa (Melila na Ceuta) .Kwahiyo kuna Spain ya Africa (Ceuta na Melila) ambayo imepakana na Morocco na Spain ya Ulaya ambayo unatakiwa upite Tangie Africa na Uvuke bahari ya Mediterranean katika Gibraltar ndio uingie Spain bara. Spain imeweka fence nzito uku Africa yaani Melila na Ceuta ili usiweze kuifikia bahari ya Mediterranean uende Spain Ulaya. Wamorroko wasio na vibali kila wakati wanapamba kwenye fence kuingia Spain ya Africa(Melila na Ceuta) ili wapate uhalali wa kuamishiwa Spain ya Ulaya. Kiufupi Spain wamejipanga ndio maana unaona Wahamiaji kutoka Africa wanashindwa kuzamia hata kwa boti.View attachment 2448417
Waliyapora kiusalama zaidi kwao kama sisi tulivyopora ziwa vikitoriaNa hayo maeneo (ceuta na melilla) Spain imeyapora toka Morocco! Kiufupi ni maeneo ya ya Morocco yanayotawaliwa na Spain
Ahahahaahah noma mkuuNa kawapiga majirani zake wote,
Kaja kufungwa na Mwafrika wa ulaya
Nn ziwa Victoria sema Unguja na Pemba ndio hoja yako yamake senseWaliyapora kiusalama zaidi kwao kama sisi tulivyopora ziwa vikitoria
Croatia wako mbali, hao Spain na Portugal aliwafunga kwasabu anawajua anacheza nao sana friendly match
YeahNn ziwa Victoria sema Unguja na Pemba ndio hoja yako yamake sense
0 kmUsisahau pia kutuambia umbali kutoka Morocco hadi ^Afrika!^