Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

Usikute hata yaliyowakuta yamesababishwa na kauli zao mbofu mbofu..!!
 
Waachani tu, wnataka kufanana na mabwana zao, wqtakua walikolezwa sana na fimbo ya ukoloni.
Hata hivyo sisi weusi hatkakiwi kudandia kwenye rangi nyeupee ili kuthibitisha uafrica wetu rangi yetu inatosha kututambulisha.
 
Wako sahihi kuchagua.Ukipatwa na msiba usikubali akili zikakuruka. Kati ya hayo mataifa yaliyokataliwa ni washenzi sana wanataka wajikombe na watoe matangazo.Wanaweza wakaenda kule wakabaka watu na kupjiga nao picha.
Ufaransa ndiye aliyekuwa mkoloni wao lakini si hekima kumruhusu kwani tayari mataifa jirani zake wanakataa kushirikiana naye na hata wamorocco wanaona ndio sababu ya shida zao kwani wamewabana sana watawala wao..
Mwengine ni Israel.Pamoja na kuwa Morocco walirejesha uhusiano kwa faida fulani .Watu wa Morocco hawana shida nao na wanaona ni nuhsi kabisa na ndio iliyopelekea ghadhabu za Allah kwa taifa lao.
 
Ni kweli unachosema lakini majanga hayazuiliki, tetemeko kama hili mwisho kutokea likikuwa mwaka 1960

Sisi tuna mikondo ya maji ambapo ikikauka tu watu wanajenga halafu mafuriko yakija nyumba zinasombwa tena wanajenga, sasa mimi hao ndio nawashangaa zaidi

Ila hata Japan wana earthquakes kila wakati kwa miaka wanapata majanga mpaka wanatengeneza wengine nyumba za maboksi
 
Morocco sio wazungu wale ni waarabu tu budder! Na Moja ya viumbe wenye IQ ndogo sana ni pmj na waarabu
 
Mnasababu gani za msingi za kuichukia Morocco ?
Binafsi, sababu zangu ni hizi;

1. Wameshatukataa wafrika wenzao mara kadhaa, kwa uwazi kwenye kombe la dunia la mara ya mwisho.

2. Walishatuma maombi kujiunga na jumuiya za ulaya huko, wakati huku Afrika tuna jumuiya

Haya, na wewe tuambie, una sababu gani za msingi za kuipenda Morocco?
 
Wamorocco wakiwa waafrika unapata faida gani na wasipo kuwa waafrika unapata hasara gani ?
 
Inajali maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…