Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Na bado waminywe adi walale baharini kwenye mitumbwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipanua tu niiweke zitaisha zote Ok?Unaonekana una stress sana ni kama mwanamke uliyeachika.
Usikute hata yaliyowakuta yamesababishwa na kauli zao mbofu mbofu..!!Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE.
Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) kwa kupeleka Msaada wa Tani za Mahindi wakati nchini Kwake tu kuna sehemu ya Mikoa ( Maeneo ) Wananchi wake wana Njaa iliyotukuka.
Kama kuna Taifa ambalo Silielewi Barani Afrika ni la Morocco kwani hata katika Fainali za Kombe la Dunia zilizopita walipofika hatua nzuri Walituruka Waafrika wengine tuliokuwa tunajivunia nao kwa kutuambia kuwa tusiwashangilie kwani Wao siyo Waafrika Wenzetu bali Wao ni Wazungu na wako Afrika ( aliko GENTAMYCINE ) kwa bahati mbaya tu.
Walipotukataa Waafrika kuwa Wao ni Wazungu kama Kawaida yetu Waafrika tulichukia na kujigawa ambapo Wengine waliwaombea Dua Baya na Wengine waliamua Kuwaroga kabisa na Wengine tuliangalia Mechi yao iliyofuata huku Tukisonya na Kununa hali ambayo ilisaidia kufanya wafanye vibaya ( Wafungwe ) na ili kuonyesha kuwa pamoja na Wamoroko kuwa na Dharau kumbe pia ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani baada ya Kufungwa na Kutolewa Mashindanoni walirejea na kusema kuwa Wao ni Waafrika Wenzetu.
Haya Morocco hawataki Misaada yenu sasa nyie Jipendekezeni kupeleka Mahindi, Mcbele na Maparachjchi yenu muone kama hamkurudishwa nayo Uwanja wa Ndege au Bandarini.
Wako sahihi kuchagua.Ukipatwa na msiba usikubali akili zikakuruka. Kati ya hayo mataifa yaliyokataliwa ni washenzi sana wanataka wajikombe na watoe matangazo.Wanaweza wakaenda kule wakabaka watu na kupjiga nao picha.Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE.
Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) kwa kupeleka Msaada wa Tani za Mahindi wakati nchini Kwake tu kuna sehemu ya Mikoa ( Maeneo ) Wananchi wake wana Njaa iliyotukuka.
Kama kuna Taifa ambalo Silielewi Barani Afrika ni la Morocco kwani hata katika Fainali za Kombe la Dunia zilizopita walipofika hatua nzuri Walituruka Waafrika wengine tuliokuwa tunajivunia nao kwa kutuambia kuwa tusiwashangilie kwani Wao siyo Waafrika Wenzetu bali Wao ni Wazungu na wako Afrika ( aliko GENTAMYCINE ) kwa bahati mbaya tu.
Walipotukataa Waafrika kuwa Wao ni Wazungu kama Kawaida yetu Waafrika tulichukia na kujigawa ambapo Wengine waliwaombea Dua Baya na Wengine waliamua Kuwaroga kabisa na Wengine tuliangalia Mechi yao iliyofuata huku Tukisonya na Kununa hali ambayo ilisaidia kufanya wafanye vibaya ( Wafungwe ) na ili kuonyesha kuwa pamoja na Wamoroko kuwa na Dharau kumbe pia ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani baada ya Kufungwa na Kutolewa Mashindanoni walirejea na kusema kuwa Wao ni Waafrika Wenzetu.
Haya Morocco hawataki Misaada yenu sasa nyie Jipendekezeni kupeleka Mahindi, Mcbele na Maparachjchi yenu muone kama hamkurudishwa nayo Uwanja wa Ndege au Bandarini.
Ni kweli unachosema lakini majanga hayazuiliki, tetemeko kama hili mwisho kutokea likikuwa mwaka 1960Is Morocco the African, Arab, or Europe country? Kuna nchi ya kiafrika iliyotoa msaada? Naona nchi za kiarabu ndio zimekuwa za mwanzo mwanzo kutoa misaada. Anyway, hiyo nchi iko kwenye ukanda wa tetemeko la ardhi, walijisahau sana kuwa wamejenga kwenye ukanda hatari hawakuchukua tahadhari. Hii dunia ina kanda za hatari kujenga, kuna maeneo yenye kukumbwa na mafuriko, ukame, majangwa, tufani, volkano, vimbunga na hata milipuko ya magonjwa. Binadamu hana budi kujua eneo alilojenga linaweza kukumbwa na janga gani la asili
Kumeckucha, kumekuchaaa...!!!Ukipanua tu niiweke zitaisha zote Ok?
Naona unatamani sana uichukue nafasi ya Mke wangu Mpendwa Mama Junior. Sikuhitaji tafadhali Mke wangu ananitosha sawa?Kumeckucha, kumekuchaaa...!!!
Lenie nikuambia
View attachment 2746667
Jamaa ni short tempered haswa, umeona sasa hapa. SI umeona mitusi hiyo..!!
Ni Wapumbavu ( Mapopoma ) na Washamba ( Wagaigai ) japo na hata Ujinga ( Ungumbaru ) pia Wanao.Mnasababu gani za msingi za kuichukia Morocco ?
Mbona hizi zote ni sifa zenu waafrikaNi Wapumbavu ( Mapopoma ) na Washamba ( Wagaigai ) japo na hata Ujinga ( Ungumbaru ) pia Wanao.
Kumbe Mwenzetu Wewe ni Mzungu? Heko...!!Mbona hizi zote ni sifa zenu waafrika
Lenie, mwamba huyu hapa tena..!!Naona unatamani sana uichukue nafasi ya Mke wangu Mpendwa Mama Junior. Sikuhitaji tafadhali Mke wangu ananitosha sawa?
Acha ubaguzi na roho mbaya dogoKumbe Mwenzetu Wewe ni Mzungu? Heko...!!
Morocco sio wazungu wale ni waarabu tu budder! Na Moja ya viumbe wenye IQ ndogo sana ni pmj na waarabuNchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE.
Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na Kiherehere ( Waganda wanasema Lugezigezi ) kwa kupeleka Msaada wa Tani za Mahindi wakati nchini Kwake tu kuna sehemu ya Mikoa ( Maeneo ) Wananchi wake wana Njaa iliyotukuka.
Kama kuna Taifa ambalo Silielewi Barani Afrika ni la Morocco kwani hata katika Fainali za Kombe la Dunia zilizopita walipofika hatua nzuri Walituruka Waafrika wengine tuliokuwa tunajivunia nao kwa kutuambia kuwa tusiwashangilie kwani Wao siyo Waafrika Wenzetu bali Wao ni Wazungu na wako Afrika ( aliko GENTAMYCINE ) kwa bahati mbaya tu.
Walipotukataa Waafrika kuwa Wao ni Wazungu kama Kawaida yetu Waafrika tulichukia na kujigawa ambapo Wengine waliwaombea Dua Baya na Wengine waliamua Kuwaroga kabisa na Wengine tuliangalia Mechi yao iliyofuata huku Tukisonya na Kununa hali ambayo ilisaidia kufanya wafanye vibaya ( Wafungwe ) na ili kuonyesha kuwa pamoja na Wamoroko kuwa na Dharau kumbe pia ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani baada ya Kufungwa na Kutolewa Mashindanoni walirejea na kusema kuwa Wao ni Waafrika Wenzetu.
Haya Morocco hawataki Misaada yenu sasa nyie Jipendekezeni kupeleka Mahindi, Mcbele na Maparachjchi yenu muone kama hamkurudishwa nayo Uwanja wa Ndege au Bandarini.
Binafsi, sababu zangu ni hizi;Mnasababu gani za msingi za kuichukia Morocco ?
Wamorocco wakiwa waafrika unapata faida gani na wasipo kuwa waafrika unapata hasara gani ?Binafsi, sababu zangu ni hizi;
1. Wameshatukataa wafrika wenzao mara kadhaa, kwa uwazi kwenye kombe la dunia la mara ya mwisho.
2. Walishatuma maombi kujiunga na jumuiya za ulaya huko, wakati huku Afrika tuna jumuiya
Haya, na wewe tuambie, una sababu gani za msingi za kuipenda Morocco?
Inajali maendeleoBinafsi, sababu zangu ni hizi;